Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani.

Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa sehemu ambayo ni bora ya kuishi na kuendelea kuvutia hata watu wengine kukimbia nchi za ulaya na kuja kuishi hapa.

Ile ndoto ya kuwa Donor Country haipo mbali sana.

Hana Hoja
Screenshot_20220306-124241.png
 
Wengi wanawake! Hapo Hakuna kikubwa Cha ku gain. Hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiwazuia wanaume kukimbia nchi yao, na kuwataka wabaki wapiganie nchi yao. Umeona imezuia wanawake? Hao Ni watu wakati wa amani, zaidi ya hapo no.
 
Ila ni wamarekani wenye asili ya afrika wamekuja kuishi Tanzania.

Hilo linatosha kabisa.

Kuna impact yake ndio maana ni habari.

Bila kuwa na impact isingekuwa habari in the first place.
 
Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa sehemu ambayo ni bora ya kuishi na kuendelea kuvutia hata watu wengine kukimbia nchi za ulaya na kuja kuishi hapa.
Wasijekuwa kama waisrael wakaanzisha operesheni panua mipaka
 
Hii ilitokea vile vile mwanzoni mwa miaka ya sabini wakati Black Pather Movement ilikuwa inavuma na inawaka huko marekani. Wengi walikuja na wengine walibaki. Sema sasa hivi watu wanaongelea kama ni kitu kipya kwa sababu ya mitandao ya kijamii.
 
Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani.

Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa sehemu ambayo ni bora ya kuishi na kuendelea kuvutia hata watu wengine kukimbia nchi za ulaya na kuja kuishi hapa.

Ile ndoto ya kuwa Donor Country haipo mbali sana.

ohoooo wafuatilieni vizuri hao isije kuwa wapelelezi
 
Kuna ndugu yangu mmoja nimeona picha zake akiwa mlimani city, na amekua marekani kwa zaidi ya miaka 12. Inawezekana ndo hii news
Inawezekana mkuu,

Nchi imefunguliwa kila mtu anaingia haya sasa kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom