kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari. Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika. Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umewahi kumpigia kura mgombea wa chama kingine sababu uliona anafaa zaidi kuliko wa chama chako?

    Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi. Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Akajibu "Baba hatumpi kura kiongozi kwa kumlipa fadhila, tutaangalia sera na Uwezo wake kutekeleza"

    Salaam ndugu yangu, Ilikuwa mwaka 2019 siku chache kabla ya Uchaguzi, Mzee mmoja aliyekuwa akigombea nafasi ya Uenyekiti alikuwa na ukaribu Mkubwa na mjomba wangu. Mgombea huyo ilikuwa hakosi kuwaita Jamaa na marafiki (akiwemo Mjomba kwenye vikao vya pombe na bata nyinginezo). Ghafla Mzee...
  5. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

    "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata. Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea...
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025: Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

    .Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika. (b) Mwaka...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaipenda CCM yangu, ilimradi ulete kura tu, tunakukubali

    Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?

    Wapo watu wengi wenye sifa za kupiga kura, lakini wamekuwa wakijiandikisha na baada ya hapo hawaendi kupiga kura kuwachagua viongozi wa kuwaongoza, na wengine hawajiandikishi kabisa licha ya kuwa na sifa stahiki na ni haki yao ya msingi ya kikatiba. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  11. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wao si ndiyo walisababisha vita ya kimbali Rwanda? Na mbaya zaidi waliiba kura Congo ili yule ashinde! Tukiwaruhusu hawa tutasababisha vita nyingine

    Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji? Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
  14. Shining Light

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Gavana wa California asema kumuengua Trump kabla ya kura sio demokrasia

    Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024. Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024. Jimbo la California na Colorado ni...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Liko wapi daftari la kudumu la wapiga kura?

    wasalaam, inashangaza mpaka sasa serikali ccm na tume ya uchaguzi ya ccm hawana mpango wa kuandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura. ukiangalia kule upande wa pili visiwani Zanzibar. wametoa utaratibu na wanaandikisha wapiga kura wapya. ikubukwe 2024 kuna uchaguzi wa...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

    Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba.................... The United States exercises its veto at the UN Security...
Back
Top Bottom