kupotea

  1. Son.j

    JamiiForums Tanzania Tukio la utata Kupotea kwa rubani wa Australia 1978

    Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio lililo acha maswali mengi ambayo yamekosa majibu mpaka leo kwani Nadharia za mamlaka na maofisa wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii Dudubaya?

    Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa, hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake. Dudubaya yupo wapi?
  3. The only

    JamiiForums Tanzania Moze Iyobo unaenda kupotea usiposikia hili wazo

    Mimi ni shabiki wa huyu mwamba wa dance pale WCB. Mose mdogo wangu umejiachia sana unene na kitambi. Kama unataka mema kwenye kazi yako hima hamia gym na anza diet. Dancers wazuri kama Michael Jackson, Usher, Chris Brown huwa hawana vitambi kama wewe. Nimeambatanisha picha za video mpya ya...
  4. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2015 Shuhudieni CCM walivyoshangilia tishio la kupotezwa kwa Watanzania wenzao wenye mawazo tofauti, halafu eti tunashangaa ndugu zetu wapinzani kupotea!

    Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji. Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena...
  5. Kinambeu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majimbo zaidi ya 11 ya mikoa ya Lindi na Mtwara hatarini kupotea

    Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo, 1. Kilwa Kaskazini 2. Kilwa Kusini 3.Nachingwea 4. Lindi Mjini 5. Liawale Kwa upande wa Mkoa wa Mtwara ni, 1. Mtwara Mjini 2. Tandahimba 3...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Je, unajua mbegu za mimea yote duniani zinahifadhiwa benki Norway zisije kupotea duniani? Benki hii hapa

    Kuna benki inayohifadhi mbegu za mimea yote duniani kutoka nchi zote duniani ili mimea isije potea.Ikipotea waweza kwenda ku draw ukapewa kupanda nchini kwako. Benki yenyewe hii hapa
  10. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji. Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu anasema corona inaweza kupotea yenyewe bila chanjo imeshaanza kupunguza makali

    Bingwa wa magonjwa ya kuambukiza, Profesa Matteo Bassetti amesema Ukali wa #CoronaVirus umepungua hivyo inaweza kuisha bila kuwa na chanjo Mtaalamu huyo wa kiitaliano amesema, #COVID19 imetoka kuwa chui mkali hadi kuwa paka mwitu. Kwa sasa ndani ya Italia hata wazee hupumua bila vifaa Mtaalamu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

    TAARIFA YA KUPOTEA KWA NDUGU FAKHRU ISSA ABEID (MAARUFU OSAMA) TAARIFA KWA KUPOTEA NDUGU FAKHRU ISSA ABEID WA DAR ES SALAAM (AL MAARUFU OSAMA) BWANA FAKHRU ALIYEPOTEA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI MAENEO YA VIGWAZA TSN PETRO STATION KITUO CHAKE CHA KAZI , SIKU YA ALKHAMIS 04/06/2020 MAJIRA YA SAA...
  13. Masiya

    JamiiForums Tanzania Astashahada zazidi kupotea sasa mwendo mdundo ni stashahada 2020

    Katika kuangalia NACTE Admission Guide 2020/2021 ya June 15, 2020 nimegundua vyuo vingi vimefuta utunukiwaji wa Technicians Certificate na badala yake wanadahili waombaji kwa program za Ordinary Diploma miaka 3. Sifa zinazotakiwa kwa ujumla ni zile zile kama za kusoma Technician Certificate...
  14. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Scandinavia (Dar) Metro (Dar) Sumry (Sumbawanga) Mohamed Trans (Shinyanga) Hood (Morogoro) Sabco (Moro) Islam (Moro) Sadick Bus (Moro) Lupelo Inv. (Iringa) Super Service (Singida) Super Star (Dodoma) Matema Beach (Mbeya) Kiswele (Songea) Fresh ya Shamba No Challenge Safina Inter City Zafanana...
  15. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  16. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Umeishawahi kupotea mahali hadi ukaanza kuuliza watu hivi?

    Umeishawahi kupotea mahali hadi ukaanza kuuliza Watu: "Uliniona Nikipita hapa?😁 Tupe mrejesho ilikuwa vipi?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Utalii Ajira zazidi kupotea tuwaombe wenzetu-Arusha

    Hali si swari kwa wenzetu
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

    Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze. Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pamoja na uchumi wa Afrika kuwa mdogo ila janga la Corona litapelekea uchumi huo kudidimia zaidi. Ajira milioni 20 kupotea

    AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic. Most African economies are projected to shrink this year due to the...
  20. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

    RAIS MAGUFULI "HUYO ANA USHAHIDI, MSHIKENI MPAKA ATOE USHAHIDI" Siku hizi kumekuwa na tabia ya hovyo imejitokeza kwa baadhi ya Watanzania wachache. Kila kitu kinachofanywa ni Usalama wa Taifa, mtu akipotea siku mbili hata kama hajapotea yupo kwa mpenzi wake ni Usalama wa Taifa. Niviombe vyombo...
Back
Top Bottom