kupotea

  1. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba arudi nyumbani mikono mitupu baada ya kupotea kwa miaka 42

    Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio. Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha. ======== A...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vijana wengine Watatu wasadikiwa kupotea mikononi mwa Polisi

    Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi. My take: Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
  3. mudy92

    JamiiForums Tanzania Leo nipo nyumbani baada ya Miaka 4 nikiwa sijui vipi nitaanza upya

    Wasalaam! Miaka kadhaa nyuma nilijiunga na Jeshi la kujenga Taifa, nilipata mafunzo ya awali kwa muda wa miaka miwili kikosi fulani huko Nyanda za juu kusini. Mwisho wa mwaka 2019 ulitokea ujenzi wa ukuta wa IKULU huko DODOMA na mimi nikiwa mmoja wa vijana nilioshiriki ujenzi huo pamoja na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

    Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili zilizopita kuna habari zimetokea magazeti kuwa kuna vijana watano wamepotea wakiwa wanaenda...
  5. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa TMK ya Juma Nature na Chege ni Pigo kwa Muziki Industry, walinogesha sana matamasha, waliopo wanajichetua sana

    Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha Hawaii mtu. Hata hivyo nashindwa kuelewa walifeli wapi? Mfano tuliambiwa Juma Nature alipata pesa...
  6. Labani og

    JamiiForums Tanzania Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

    Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  8. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wanachama watano wa CUF wadaiwa kutekwa na watu wenye silaha usiku wa manane

    Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021. Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pepsi imepotea madukani

    Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
  10. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema polisi bado wanachunguza kupotea kwa Mwandishi wa habari Azory Gwanda

    Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumapili mjini Mwanza.Msigwa amesema hakuna taarifa mpya ya...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Dkt. Cyrilo na ukimya wa media za Tanzania

    Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake

    22 September 2021 Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake
  13. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Hii mada inawalenga sana wale wenye mishe misheza manunuzi kariakoo. Aisee kama huna uzoefu na ile mitaa, hasa ile ya nguo, nakushauri ukinunua mzigo wako ukiona huwezi tembea nayo bora utafute hoteli ulipie uwe unakusanyia mizigo yako hapo. Mimi sio mgeni wa k.koo hata kidogo, ila juzi ni...
  14. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kila aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane na Azori Gwanda laana imtafune yeye na kizazi chake

    Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika na kuwapoteza hawa watu ni wanadamu na wala si wanyama, Laana ya mwenyezi Mungu iwatafune milele na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

    Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc. Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

    Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

    Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa mnazi hustaamili ukame na una maisha ya miaka 100 tangu kupandwa. Kilimo cha minazi kiliwafaa...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
Back
Top Bottom