Je, unajua mbegu za mimea yote duniani zinahifadhiwa benki Norway zisije kupotea duniani? Benki hii hapa

Na Tanzania wa box huko?! Sikusikia tukitajwa, au wataalam wetu hawafahamu kama kuna kitu kama hicho?!
 
Hata mbegu za kiume na mayai ya wanawake kuna benki zake huwa watu wanahifadhi, ukihitaji kupandikiza unaenda kununua
 
Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.

Story za Kijiwe cha Kahawa.
 
Ac
Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.

Story za Kijiwe cha Kahawa.
Acha ubishi wa kijinga hii ni kweli hata Kama aliyeitoa ni li CCM Ila hi habari ni kweli na bank hii ni Kati ya maeneo ya nayolindwa Sana duniani.

Mengine ni

USA reserve
Area 51
Bank ya taarifa za kanisa katoliki
Na hiyo bank ya mbegu
 
Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.

Story za Kijiwe cha Kahawa.
Hawawezi Kufanya Kitu Kama Hicho, Wanajidanganya Kwamba Hata Mbegu Za Mmea, Mkola Mbuzi, Mlangalala, Mbilizi, Msukumeda, Mhunda, Zote Hizo Mbegu Zake Wanazo!?
 
Hawawezi Kufanya Kitu Kama Hicho, Wanajidanganya Kwamba Hata Mbegu Za Mmea, Mkola Mbuzi, Mlangalala, Mbilizi, Msukumeda, Mhunda, Zote Hizo Mbegu Zake Wanazo!?
... halafu sio kila mmea hutoa offspring kupitia mbegu; mingine huendeleza kizazi kwa njia tofauti mfano migomba kwa kuhamisha toto la mmea; mihogo kwa kupanda kipande cha mti; viazi mviringo kwa kupanda kiazi; viazi vitamu kwa kupanda kipande cha mmea; n.k. vyote hivi navyo vimehifadhiwa benki? Biashara kichaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom