kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM toeni tamko kwamba dirisha kwa mwanachama yeyote kutia nia kuwania urais kupitia CCM limefunguliwa rasmi

    Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025. Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana! Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
  2. M

    Je, inawezekana kutajirika kupitia kubeti kwenye michezo?

    Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha. Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
  3. Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  4. J

    Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  5. Handaki la Kilomita nne lenye uwezo wa kupitisha magari lasambaratishwa Gaza

    Kila nikianza kuwahurumia hawa watu halafu nikutane na habari kama hizi najikuta natamani wapigwe tu, yaani miundo mbinu yote hii ilijengwa wakishuhudia kimya kimya, walikusudia kuiona Israel ikifutwa, sasa hivi wao wanafutwa. ========================= Four kilometers long: IDF destroys...
  6. K

    A-Z Jinsi ya kupata pesa kupitia chaneli ya YouTube

    Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
  7. S

    Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

    Habari za leo wana JF, Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
  8. Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  9. U

    Nashindwa kulipa kupitia Vizacard mtandaoni

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini nimeshindwa kufanikiwa kwa muda wa wiki moja sasa hata hivyo mwanzoni malipo yalikuwa hayasumbui...
  10. J

    Jisajili sasa UWT kiganjani kwako kupitia simu janja yako popote ulipo

    JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako. #UWTJisajiliKidijitali
  11. Chama cha haki na kilichokubalika kwa Mungu, mtu, au taasisi kupitia dini akipinge, ni kujichosha tu! CHADEMA ina kibali bwana!

    Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni? Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
  12. Je, anguko la Rostam Aziz na wenzake kupitia agenda feki ya kujivua gamba mmesahau?

    Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo. Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi...
  13. Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  14. F

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  15. Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
  16. Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

    Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu...
  17. Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

    Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie. Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza...
  18. Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  19. J

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  20. Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…