Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani?
WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia...
Mimi Sexless kazi yangu kubwa hapa mjini ni ukungwi. Natoa ushauri na kusaidia watu wa rika zote kutatua changamoto za mahusiano. Leo nimefikwa na mteja akanipa maelezo yafuatayo:
"Kuna siku nilikosea namba akapokea msichana, kwa bahati alikuwa mji ninaoishi. Mahusiano yakanzia hapo. Bado...
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
Habar za muda huu!
Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta.
Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote.
Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza 500,000 kwa msimu wa kilimo. Ikiwa ataweza kupata wafugaji wa ng'ombe au mbuzi au samaki, kipato...
Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi.
Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya.
Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital?
Unless kutakuwa na shida mahali
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada
Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku
Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
Ningependa kuwauliza wizara ya Uchukuzi kupitia Waziri Bashungwa ni lini Kituo cha ukaguzi wa mizigo kilichopo kata ya Misugusugu mkoani Pwani kitahamia Vigwaza kuliko jengwa kituo kikubwa cha ukaguzi kupitia fedha za udhamini wa Bank ya Dunia?
Sababu kituo cha Misugusugu ni kama kipo kimtego...
BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa boti yenye vifaa vya matibabu (Ambulance Boat) ambao umesainiwa baina ya TASAC na Kampuni ya...
Taarifa yake hii hapa .
Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
Vision board ni nini?
Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako.
Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo.
Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au...
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha
Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake
Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote.
Mbowe...
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.
Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.