Handaki la Kilomita nne lenye uwezo wa kupitisha magari lasambaratishwa Gaza

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Kila nikianza kuwahurumia hawa watu halafu nikutane na habari kama hizi najikuta natamani wapigwe tu, yaani miundo mbinu yote hii ilijengwa wakishuhudia kimya kimya, walikusudia kuiona Israel ikifutwa, sasa hivi wao wanafutwa.

=========================

Screenshot 2024-03-05 163357.png

Four kilometers long: IDF destroys largest terror tunnel uncovered in northern Gaza

The tunnel extends about four kilometers long and ends near the Erez crossing but does not cross into Israeli territory.

The IDF destroyed on Tuesday the largest terror tunnel that was uncovered in northern Gaza since the beginning of the Israel-Hamas war, the military announced on that morning.

The tunnel extends about four kilometers long and ends near the Erez crossing but does not cross into Israeli territory. It was initially discovered in mid-December of last year.

Over the past few weeks, the IDF has been investigating the tunnel, and the route was located and destroyed in a joint effort by the engineering unit of the IDF's Gaza Division, the Yahalom unit, the IDF's Southern Command, and the Defense Ministry's engineering and construction division.

The IDF carried out exploration operations of the tunnel route, which reached a maximum depth of about 50 meters. The nearest shaft of the tunnel is located about 400 meters from the Erez crossing, which has been used for the passage of workers and patients for medical treatment in Israel in recent years.

Route has several branches

The route has several branches, forming a wide and branched network of tunnels. Along the route, there are sewerage, electricity, and communication infrastructures, as well as the top doors, which were designed to prevent the entry of IDF forces. The tunnel allows the movement of vehicles inside it, and many weapons of the terrorist organization Hamas were found in it.

The ground maneuver, through intelligence operations in the field, provided a lot of information about the Hamas terror tunnels project and helped deepen the knowledge and mapping of it. Since the beginning of the war, the IDF has been working to locate and destroy dozens of attack tunnel routes as part of the systematic dismantling of Hamas infrastructure. The tunnel construction project included a team of dozens of terrorists who came especially for its construction from Khan Yunis to the north of the Gaza Strip.

Maariv reported that the use of special digging machines smuggled into the Strip was found within the tunnel's construction.

Additionally, according to estimates, Hamas has invested millions of dollars in the underground layout throughout the Strip, and Maariv noted that offensive actions against Israeli troops have been staged from within the now-demolished tunnel.

A few days ago, terrorists were also identified inside the tunnel, who were eliminated by the IDF forces.

JPost
 
Hakuna juatification ya hii vita kuendelea.

Kimsingi hao Wapalestina wanapambania ardhi yao. Sisi tunawaona kama magaidi. Pia Israel ana haki ya kujilinda ingawa amwejipa haki ya kutamalaki isivyo haki

Kila upande una makosa. Warudi meza ya mazungumzo
 
Fuata historia, sio nyepesi jinsi unavyoiandika......
Hebu soma hii uniambie ardhi ipi inapambaniwa hapa

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Hamas ni kundi la kigaidi.
Hebu tupate katiba ya Palestina, Israel na UN Resolution kuhusu eneo hilo.

Hamas siyo legitimacy kudeclare au denial masuala yanayohusu legalities za ardhi ya eneo hilo.

Ni sawa na CCM, haiwezekani Katiba ama chatter ya CCM ndo iwe inatamalaki nchi inayotambulikana kwa mipaka yake kimataifa.
 
Kafiri upo tu? Au ulilala kanisani
 
Maisha mliyoishi waisrael kipindi Cha utawala wa Hitler mhh...endeleeni tu kupiga mabomu hapo wapumbavu sabb wakipata nafasi watawafanyia yaleyale aliyowafanyia Hitler.
 
Wapigane wenyewe huko shauri zao bora sisi huku tunatandaza miti kwaamani na mkono kwenda kinywani
 
Hamas ni kundi la kigaidi.
Hebu tupate katiba ya Palestina, Israel na UN Resolution kuhusu eneo hilo.

Hamas siyo legitimacy kudeclare au denial masuala yanayohusu legalities za ardhi ya eneo hilo.

Ni sawa na CCM, haiwezekani Katiba ama chatter ya CCM ndo iwe inatamalaki nchi inayotambulikana kwa mipaka yake kimataifa.

Kwa sasa HAMAS ndio imeshikilia eneo lote hilo na hao Wapalestina hawana la kusema mbele ya HAMAS, hata wao ni kama mateka, hivyo lazima HAMAS ioshwe iondolewe waje hao Wapalestina ambao wako radhi kujadili kwa amani.
Tatizo hao HAMAS wanatumia akina mama na watoto kama kinga.
 
Hakuna juatification ya hii vita kuendelea.

Kimsingi hao Wapalestina wanapambania ardhi yao. Sisi tunawaona kama magaidi. Pia Israel ana haki ya kujilinda ingawa amwejipa haki ya kutamalaki isivyo haki

Kila upande una makosa. Warudi meza ya mazungumzo
walaumu waliochagua vita dhidi ya aman tangu mwaka 1948
 
Hamas ni kundi la kigaidi.
Hebu tupate katiba ya Palestina, Israel na UN Resolution kuhusu eneo hilo.

Hamas siyo legitimacy kudeclare au denial masuala yanayohusu legalities za ardhi ya eneo hilo.

Ni sawa na CCM, haiwezekani Katiba ama chatter ya CCM ndo iwe inatamalaki nchi inayotambulikana kwa mipaka yake kimataifa.
kwann wapalestina wanawafunga na kuwachagua hao magaidi ? wapalestina wanalipwa kwa ujinga wao
 
Back
Top Bottom