Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,575
108,931
Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.

Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.

Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.

Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
 
Inasemekana eti alitapeli wakulungwa ili jina lipite kunako sasa wale wale wapo na kichinjio safari hii hawatamuonea huruma maana aliwekeza kwa mwenyekiti late CEO sasa hayupo na aliowaahidi jina bahati nzuri ndiyo hao wenye vichinjio hahaha hivyo ubunge asahau kabisa labda awatafute ateme mpunga wao ili mambo yaendelee bila hivyo never again wanasema waswahili
 
Nitamuunga mkono! Gwajima hadi leo Kashindwa kujenga barabara kutoka Nyaishozi kwenda Nyamachabezi kila mvua ikinyesha haipitiki!
Hizo jogging na michezo ya “Redi” kwa wasichana huko Kawe hiyo ni danganya Toto ; Gwajima bye bye huwezi kutuhadaa kwa kukwangua barabara halafu mvua zikinyesha matope matupu! Kawe wanataka tiketi zao za ndege kwenda ulaya ulizoahidi au umesahau!
 
Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.

Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.

Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.

Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
Nimemkumbuka mbunge Mstaafu Kawe Adamjee
 
Umeandika upupu aisee. Kwamba sentensi zako za kuungaunga sisi tuziamini. Vijana mnauza utu kwa vocha za tigo. Naona mnaanza kutapatapa, hilo jimbo huingii kwa sentensi za JF
 
Inasemekana eti alitapeli wakulungwa ili jina lipite kunako sasa wale wale wapo na kichinjio safari hii hawatamuonea huruma maana aliwekeza kwa mwenyekiti late CEO sasa hayupo na aliowaahidi jina bahati nzuri ndiyo hao wenye vichinjio hahaha hivyo ubunge asahau kabisa labda awatafute ateme mpunga wao ili mambo yaendelee bila hivyo never again wanasema waswahili
Inasemekana kwamba eti wewe unalipwa kuandika upupu eti
 
Back
Top Bottom