Je, anguko la Rostam Aziz na wenzake kupitia agenda feki ya kujivua gamba mmesahau?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo.

Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi, ikikumbukwe kuwa ukiwa Rais wa nchi mambo ni mengi yawezekana agenda ya kujivua Gamba ililetwa na machawa wa kikwete pasipo adhima yake.

Hata hivyo matokea yake yamebebwa na Kikwete na hana budi kuendelea kuwa jasiri na asonge mbele.

Kwenye maisha mazuri huyeyuka na mabaya huganda yakiambatana na wewe nyakati zote kila pahala.

Ubaya ni kama ilivyo kuzimu kila mja hunena.

Ni rejea fupi

Wadiz
 
"yawezekana agenda ya kujivua Gamba ililetwa na machawa wa kikwete pasipo adhima yake."
👆👆👆👆👆👆👆
Hivi ni kwanini mtu, kabla ya kuandika, angalau usifanye utafiti kidogo kupitia google?

Mwenyekiti wa chama wa wakati huo ndiye aliyetamka na kuasisi suala la kujivua gamba.

Kwa siasa cha nchi yetu, hata huko upinzani fikra za mwenyekiti zinadumishwa na ndiyo wasisi wakuu wa kampeni mbalimbali na viongozi wa chini yao wanakuwa ni wabeba ajenda tu.
 
"yawezekana agenda ya kujivua Gamba ililetwa na machawa wa kikwete pasipo adhima yake."
👆👆👆👆👆👆👆
Hivi ni kwanini mtu, kabla ya kuandika, angalau usifanye utafiti kidogo kupitia google?

Mwenyekiti wa chama wakati huo ndiye aliyetamka na kuasisi suala la kujivua gamba.

Kwa siasa cha nchi yetu, hata huko upinzani fikra za mwenyekiti zinadumishwa na ndiyo wasisi wakuu wa kampeni mbalimbali na viongozi wa chini yao wanakuwa ni wabeba ajenda tu.
Somo umelielewa tulie ipite hivyo hivyo, mimi mwenyewe ni maktaba Toka enzi na enzi hadi mheshimiwa x alijulikana na nchi nzima kwa tuhuma za kuwa mgonjwa ana HIV, leo iko wapi watanzania wamesahau yote
 
Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo.

Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi, ikikumbukwe kuwa ukiwa Rais wa nchi mambo ni mengi yawezekana agenda ya kujivua Gamba ililetwa na machawa wa kikwete pasipo adhima yake.

Hata hivyo matokea yake yamebebwa na Kikwete na hana budi kuendelea kuwa jasiri na asonge mbele.

Kwenye maisha mazuri huyeyuka na mabaya huganda yakiambatana na wewe nyakati zote kila pahala.

Ubaya ni kama ilivyo kuzimu kila mja hunena.

Ni rejea fupi

Wadiz
haina maana, si muhimu na haisaidii chochote 🐒

This is politics unless ni student wa yenyewe.....
 
Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo.

Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi, ikikumbukwe kuwa ukiwa Rais wa nchi mambo ni mengi yawezekana agenda ya kujivua Gamba ililetwa na machawa wa kikwete pasipo adhima yake.

Hata hivyo matokea yake yamebebwa na Kikwete na hana budi kuendelea kuwa jasiri na asonge mbele.

Kwenye maisha mazuri huyeyuka na mabaya huganda yakiambatana na wewe nyakati zote kila pahala.

Ubaya ni kama ilivyo kuzimu kila mja hunena.

Ni rejea fupi

Wadiz
wewe tafuta mlo wako hapo wote wanakusaliti wewe , so usijipe upande wala kumpa mtu moyo , hao wote ndo waliitoa andazi tsh 10 hadi leo Tsh 500 hakuna mwema hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom