kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

    Wasalaam wapendwa. Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo. Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako". Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi...
  2. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums

    Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums ni njia nzuri ya kutumia mtandao wa jamii kujipatia kipato au kukuza biashara yako. Hapa kuna hatua muhimu za kuanza: ### 1. Kujenga Sifa na Maudhui Bora - Shiriki Maudhui ya Ubora: Anza kwa kushiriki maudhui ya ubora na yenye thamani kwenye JamiiForums...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

    Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

    Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis. Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri. Kambi hii...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  9. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mabadiliko kwa Uhisani: Maboresho ya Afya Kupitia Ukarimu

    Uhusiano kati ya ustawi wa akili, afya ya mwili, na tabia ya kutoa ni jambo la kuvutia na tata. Safari ya John D. Rockefeller kutoka ugonjwa hadi afya, iliyoanzishwa na mabadiliko yake kutoka mtindo wa maisha unaozingatia binafsi hadi ule unaolenga uhisani, ni mfano maarufu. Hadithi ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya utapeli uliokithiri nchini itaweza kushughulikiwa kupitia tume ya kupambana na utapeli

    Matukio ya utapeli nchini yamezidi na yanazidi kushika kasi nchini. Matapeli wamekua wakibuni mbinu mpya kadiri siku zinavyosonga. Utapeli wa mitandaoni na usio wa mitandaoni umekuwa mwiba mkali kwa wananchi wengi huku ukiwaachia maumivu ya kupoteza pesa walizotegemea zingewanufaisha kwa namna...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

    Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku. Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki. Siku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  13. Dance Macabre

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

    Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona. Ukiachana na Derulo...
  15. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  16. Mr Sam

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  17. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Wale tunaongoja kuangalia Euro kupitia ZBC 2 mashaka lukuki

    Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Back
Top Bottom