DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA
Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
WAKURUGENZI WAPEWA SAA 48 KUPELEKA BENKI BIL. 2.4 ILIYOKUSANYWA KUPITIA POS
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mhe. Deo Ndejembi (Mb) amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambazo zimekusanya mapato kupitia mfumo mpya wa TAUSI na hawajapeleka fedha benki kuhakikisha fedha...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA
"Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo la Momba kuhusiana na Maji. Wanafunzi katika Shule mbili tofauti wamepoteza maisha, Shule ya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais
Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu.
Akizungumza na mamia ya...
Sioni sababu yoyote ya Polisi kuzuia hayo màndamano. Kamanda wa Polisi Temeke awaruhusu hawa vijana kufanya hayo maandamano. Hili ni swala ambalo ingawa serikalini wamemaliza mjadala,lakini wananchi wengine bado wanalijadili.
Hili swala la maandamano halikatazwi Kikatiba siyo sawa kwa Polisi...
Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya.
Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine.
Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA
"Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba.
Nilichokiona leo na ambacho...
Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali.
Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO.
Russia to deliver...
Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa.
Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G.
Lakini haujamaliza Dk 5...
Kama kuna mtu anajua a company inayoweza safirisha small parcel bila regulation na vikao, yaani pay and transport sitaki mbambamba nyingi kama za DHL. Ani link up? Inchi ni za Africa hasa South Africa, Kenya na Dubai.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
Habari wakuu.
Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return.
Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini?
Shukrani.
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022.
Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.