Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50.
Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo...
Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole....
===================
A new batch of 133 asylum seekers...
Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga...
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado.
Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini.
Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Pia...
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'
Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi
Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
Kwanza nianze jambo moja...
Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu!
Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari...
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters
Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na...
Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina.
Ni Kwamba katika muda niliokaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.