Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine?

Binafsi nikushauri kwamba Kama Ana dhamira ya kusoma medicine Basi inawezakan Cha msing aombe vyuo vya private Kama vle kairuki na Kampala Ila ajiandae pia Ada ya chuo ambayo hugharimu kuanzia 6.7-7mil/year ukiwa na maswali Zaid njoo nikupe mwongozo inbox
 
kwa grade hizo uongo

Back
Top Bottom