Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
2,851
2,000
Bandugu salama?

Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka.

Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31.
Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata).

2013 nikaenda Shule na kupata Bachelor, na 2016 nikaunga Masters.

Nilirudi 2018 kazini, nikahamia bomani na sasa ni Kaimu Mkuu wa Idara.

Tokea 2020 nimekuwa nikiapply sana Kazi kwenye international Organisations kama SADC, AU, UN, EAC na nyengine kibao ila sijawahi itwa hata interview.

Na kinachonishangaza ni kwamba hizi ajira huwa zinatangazwa na Wizara ya Utumishi kupitia website yao.

Nimekuwa nikiapply sana ila sijawahiitwa hata interview.

Sasa bandugu hebu naomba muongozo na Msaada wa kupata hizi post.

1. Je, nakosea kuandika CV?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo

2. Nakosea kuandika Cover letter?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo.

Mwenzenu natamani sana kwenda kufanya Kazi huko NAIROBI, GENIVA, ADDIS ABABA na kwengineko.

Rohoni naona kabisa Halmashauri HAINITOSHI.

Nahitaji big challenge in my employment.

ASANTENI.

#YNWA
 
Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
4,696
2,000
Bandugu salama?

Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekua likinisumbua kwa miaka...

Mimi ni mtumishi wa Umma wa halmashauri mwenye miaka 31.
Niliajiriwa 2012 (nikiwa na miakanikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogoo sanaa (uongozi wangu ulikua ndani ya kata).

2013 nikaenda Shule na kupata Bachelor, na 2016 nikaunga Masters.

Nilirudi 2018 kazini, nikahamia bomani na sasa ni kaimu mkuu wa Idara.

Tokea 2020 nimekua nikiapply sanaa Kazi kwenye international Organisations kama SADC, AU, UN, EAC na nyengine kibaoo ila sijawahi itwa hata interview.

Na kinachonishangaza ni kwamba hizi ajira huwa zinatangazwa na wizara ya utumishi kupitia website yao.

Nimekua nikiapply sanaa ila sijawahi itwa hata interview.

Sasa bandugu hebu naomba muongozo na Msaada wa kupata hizi post.

1. Je nakosea kuandika CV?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo

2. Nakosea kuandika Cover letter?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo.

Mwenzenu natamani sanaa kwenda kufanya Kazi hukoo NAIROBI, GENIVA, ADDIS ABABA na kwengineko.

Rohoni naona kabisa Halmashauri HAINITOSHI.
Nahitaji big challenge in my employment.

ASANTENI.

#YNWA
Nakushauri tu ridhika na hapo ulipo kijana....hayo mashirika unayoyasema wewe ni makubwa sana upatikanaji wake wa kazi unatakiwa uwe umetokea kwenye chain,halafu kwanini ukimbilie uko Un,sadc wakati kuna baadhi tu ya mashirika tu humuhumu ndani hupati
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,464
2,000
Nakushauri tu ridhika na hapo ulipo kijana....hayo mashirika unayoyasema wewe ni makubwa sana upatikanaji wake wa kazi unatakiwa uwe umetokea kwenye chain,halafu kwanini ukimbilie uko Un,sadc wakati kuna baadhi tu ya mashirika tu humuhumu ndani hupati

Unaposema hayo ni mashirika makubwa kwani wanaopata kazi huko ni watu gani mkuu?

Nimependa ari na mtazamo alionao Liverpool VPN , nna imani asipokata tamaa na akaendelea kufuatilia, atapata taarifa sahihi na kuboresha zaidi namna anavyotuma maombi yake na ipo siku atapata.

Pia kuna vitu vya kuzingatia kwenye kazi wanazotangaza, kuna international (Professional), kuna zile kazi lazima mwombaji awe ni wa nchi husika ( Local Staff) na kingine cha kuzingatia ni aina ya mkataba ( FTA, SC au Consultancy)
Unaweza kufikiri hauitwi kwenye interview kumbe tatizo sio kwamba hauna sifa ila unaomba category tofauti.
 
Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
2,851
2,000
Sipati kivipi?

Sijawahi apply shirika la humu nchini na Wala siyataki.

Nahitaji kupanda ndege kwenda kufanya Kazi na watu tofauti na Watanzania.
 
Amen.

#YNWA
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,944
2,000
Tatizo nadhani liko hapa. Hawa jamaa kama wamepewa madaraka ya kuchuja waombaji basi upeleka watu wao tu. Kama hawakujui, haupelekwi. SADC ndio wana mtindo huo. Wanataka maombi yapitie Wizara ya mambo ya Nje ya nchi yako. Hata mimi nimewahi kuomba kupitia Mambo ya Nje mara nyingi bila mafanikio. Ila nikiomba kwenye mashirika ambayo yanapokea maombi moja kwa moja kutoka kwa waombaji huwa napata interviews.

Kwa ujumla wake, mashirika haya ni very competitive. Siyo rahisi kupata kazi huko. Hiyo haina maana kuwa haiwezekani. Unashindanishwa na dunia nzima - waliosoma international school, wanaongea international languages kama mother tongue, etc. Unashindana na the best of the best. Cha muhimu endelea kuomba. Ili upate interview 1 inabidi uwe umeomba mara nyingi sana. Ndio uzoefu wangu huo.
Na kinachonishangaza ni kwamba hizi ajira huwa zinatangazwa na Wizara ya Utumishi kupitia website yao.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,992
2,000
Ingia google na search ajira katika mashirika hayo ukiona kuna ajira zinazoendana na qualifications zako usiogope APPLY.

Bandugu salama?

Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka.

Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31.
Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata).

2013 nikaenda Shule na kupata Bachelor, na 2016 nikaunga Masters.

Nilirudi 2018 kazini, nikahamia bomani na sasa ni Kaimu Mkuu wa Idara.

Tokea 2020 nimekuwa nikiapply sana Kazi kwenye international Organisations kama SADC, AU, UN, EAC na nyengine kibao ila sijawahi itwa hata interview.

Na kinachonishangaza ni kwamba hizi ajira huwa zinatangazwa na Wizara ya Utumishi kupitia website yao.

Nimekuwa nikiapply sana ila sijawahiitwa hata interview.

Sasa bandugu hebu naomba muongozo na Msaada wa kupata hizi post.

1. Je, nakosea kuandika CV?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo

2. Nakosea kuandika Cover letter?
Mwenye muongozo (link) anipe nione format waitakayo.

Mwenzenu natamani sana kwenda kufanya Kazi huko NAIROBI, GENIVA, ADDIS ABABA na kwengineko.

Rohoni naona kabisa Halmashauri HAINITOSHI.

Nahitaji big challenge in my employment.

ASANTENI.

#YNWA
 
Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
2,851
2,000
Ingia google na search ajira katika mashirika hayo ukiona kuna ajira zinazoendana na qualifications zako usiogope APPLY.
The point is ...
Huwa na apply mara kibaoo ajira zao, na huwa zinapitia Utumishi.
Hivyo Kuna zile ambazo Wana hamasisha watumishi wa umma ku apply.

#YNWA
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom