Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF.
1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet..........
Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
Wadau kwema,
Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania.
Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015.
Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato.
Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali...
Jamani nina kamjomba kangu kamepata division 1.9 ya PCB.
Yani Physics C, Chemistry C, Biology C, BAM D na GS C.ndoto zake ni kuwa daktari wa binadamu. So nimejaribu kupitia matokeo yao ya mwaka huu naona PCB wamefaulu sana hivyo naona ushindani utakua mkubwa hasa kwenye chuo kama muhimbili.
So...
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..
- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,
- Ataanzia wapi na atatumia...
Wanakijiji wa Huanghe, Mkoa wa Guizhou, China, wanakusanya vifuko vya nondo wa hariri. Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya kilimo cha majani ya folium mori na kufuga wadudu wa Hariri imeendelezwa kwa kasi, na zaidi ya wenyeji 1,000 wametajirika kupitia kilimo hicho.
Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo..
Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela.
Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
Habari zenu wakuu,
Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo.
Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never !
Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.
sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
Haya ni maoni yangu binafsi kama tujuavyo mara baada ya Raisi magufuli kuingia madarakani haki MBALIMBALI za wafanyakazi ikiwemo nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilisimama,
Na kupekelekea wafanyakazi wengi ikiwemo walioajiriwa mwaka 2014 kusota na mshahahara ule ule.
Hatimaye...
Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu.
Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao hiki nakipenda kutokana na utulivu wa kipekee aliotumia Oliver “NOLI” katika utunzi na uimbaji. Kibao...
Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi).
Wanachokosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.