kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  2. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wazo la bidhaa ya kuuza mtandaoni ndani ya saa 24 tu...

    JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: UVIKO-19 bado upo, ni muhimu kupata chanjo

    Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure. Waziri amesema hayo katika ziara ya Rais Samia Mkoani Njombe ambapo amesema siku ya Jumamosi, Agost 13...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  6. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais wapitishwe Jeshini kupata mafunzo

    Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao. Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  9. Royal Tour

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  11. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  12. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

    Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa? Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Funguo za kupata fursa zaidi

    Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu nilivyojifunza kupitia maisha niliyoyaona kwa watu lakini pia niliyoyaishi mimi mwenyewe. Makala...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  19. biancaabdu

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?

    Habari Naomba kuliza, Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
  20. Ignas lyamuya

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata setup ya Efootball 2022?

    Wapi naweza kupata setup ya efootball 2022?
Back
Top Bottom