Oliver N’Goma: Nge ( Kupata mwenzi kuna hitaji uvumilivu)

Tonydigital

Senior Member
Oct 6, 2014
109
122
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao hiki nakipenda kutokana na utulivu wa kipekee aliotumia Oliver “NOLI” katika utunzi na uimbaji. Kibao hiki kinapatikana katika album yake ya pili “ADIA” iliyotoka mwaka 1995 ikiwa ni nyimbo namba tatu (3) katika album tajwa.

NOLI anelezea mkasa wa kimapenzi unaomhusu binti, japo ujumbe na contents zote za wimbo huu hutufika hata sisi wanaume. Hebu tutazame Oliver alikua anaongelea nini haswa!!

Nyimbo: Nge
Maana: Wewe (You)
Album: Adia
Kutolewa: 1995
Mtunzi: Oliver N’Goma
Mwandaaji: Manu Lima
Lugha: Lumbu
Label: Lusafrica

Katika nyimbo hii Oliver anaeleza kuhusu mwanamke / binti ambaye amechoka kuwa kwenye mahusiano na wanaume ambao tayari wana mahusiano yao ya kudumu. Binti amechoshwa na anamwambia mwenza wake (ambaye bado hajampata) kuwa amechoka na anamsubiri ajitokeze kwani hawezi kuendelea na mapenzi ya utumwa.

Binti anahimiza kuwa yupo tayari kumgoja mahali popote pale na anatamani kuwa kwenye mahusiano yake ya kudumu (ndoa). Anamwomba Mungu amuonyeshe huyo mtu wake kwani amechoka kuvumilia kuendelea na kujihusisha na wapenzi wa wengine.

Nge = You

Why don’t you show yourself?
Because I love you,
Your heart is already taken,
Because I cannot see you?
What are you waiting to show me your face?
My heart please come

Where are you?
I’m waiting for you,
Show me your face,
Even in dreams,
Then I will know that one day I will see you in broad daylight

I will wait for you with hope and it is this hope will give new life, and that day,
My suffering will end,
The wounds of the heart will heal,
Now I refuse to love hearts already destined for others,
Now it is my heart that I wait
I refuse to be alone
 
Attachments

  • EC4D7A75-E3D6-44C4-B2A0-60638520F556.jpeg
    EC4D7A75-E3D6-44C4-B2A0-60638520F556.jpeg
    374.2 KB · Views: 17

Leonardo Harold

JF-Expert Member
May 13, 2019
471
658
We jamaa ni presenter wa radio au tv?
Umeandika vizuri sana, intro na content very impressive.
Binafsi namkubali sana bwana ngoma, ni legend wa zouk, nyimbo zake zote za moto, huwa napenda kuzi play mida ya jioni nkitoka mishemishe, napata burudani murua. Hii ya leo pia naipenda japo sikuwahi kujua maana yake, asante kwa darasa

Thanks, mimi sio presenter.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,895
26,346

Mkuu Nge wala siyo kwamba anamgonjea mpenzi bali anamtafuta Mungu ni sawa na ule wimbo wa cameleone ule unaweza ukadhani anamwimbia mpenzi
 
Tonydigital

Senior Member
Oct 6, 2014
109
122
Mkuu Nge wala siyo kwamba anamgonjea mpenzi bali anamtafuta Mungu ni sawa na ule wimbo wa cameleone ule unaweza ukadhani anamwimbia mpenzi
Binti kachoka na lifestyle yake, anamuomba Mungu ampe mpenzi wake.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom