kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  2. T

    SoC02 Tufanyeje kupata Jiji la mfano kimazingira, Bajeti isiwe sababu

    Utangulizi Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi, bustani nzuri, miti bora ya barabarani na kivuli chake katikati ya mji. Si wakati wa kukutana mara kwa...
  3. D

    Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

    "Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
  4. M

    SoC02 Vikwazo vya kupata elimu bora vijijini

    Ikisiri Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi vikwazo mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali yanayojadili swala hili, vilevile wapo wadau wa elimu...
  5. Hapa dsm wanafunzi wengi wanaishia Kupata zero form four je Serikali inalitambua hili?

    Nipo shule x Hapa dsm nasikitika kusema Kuna zaidi ya watoto wa kike 100 lazima wapate zero maana naandika Hapa hawa Ni watoto hawajui hata kuandika majina yao kwa ufasaha. Sasa hawa watoto wa kike wengi wanatoka uswahilini je baada Kupata zero wanaenda kufanya shughuli gani au kuolewa na ...
  6. Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
  7. R

    Tuorodheshe wasaliti ambao "NJAA" zao zilibadiri misimamo yao baada ya kupata "ulaji" wakati wa 2015-2020

    Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF. 1. Polepole 2. Kabudi 3. Nasari 4. Kafulila
  8. M

    SoC02 Changamoto zinazowakabili wanafunzi wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu bora

    CHANGAMOTO NA NJIA ZA KUPATA ELIMU BORA VIJIJINI Ikisiri. Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi changamoto mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali...
  9. Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

    Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio. Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...
  10. M

    SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
  11. Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  12. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
  13. Benki za Russia zaanza kupata hasara

    Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo...
  14. Msaada: Namna ya kupata work permit nchini Uingereza

    Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza. Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na...
  15. Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  16. Waziri Dkt. Stergomena ziarani nchini India baada ya kupata mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh. Hii ni ziara yake ya kwanza ya kutembelea India tangu alipoteuliwa kuiongoza Wizara hii Septemba 12, 2021. Wakati wa...
  17. Z

    SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  18. A

    SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  19. Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Kijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea. Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe...
  20. Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

    Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…