Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
Wakuu kwema?
Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online
Na kama kuna wizi...
Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha.
Milango na fremu 16pc, ila kazi inaweza kufanyika kwa awamu.
Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu
Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya
Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
Wazee wa baka bencha mpo (ilininichukua miaka mingi kujua kwamba Ilikua inamaanisha back bench yaani seat ya nyuma 😁😁).
Nimeingia secondary Mwanza pale nyakabungo nikazingua vibaya mno nikafukuzwa Shule nikahamia Thaqafa secondary kwa ogweyo na opiyo nikatandika zero takatifu.
Kiukweli...
Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa
Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ??
Binafsi Mimi Sina Furaha
Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.
kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari.
Mzee Swalehe alifariki katika...
Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo.
Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
Habari za Mahangaiko Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu ni ya Form Six
Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.
Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.
Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi.
Kila ninapokumbuka...
Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi.
Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi.
Hata hivyo...
Habari zenu wakuuu.
Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat".
Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
Kupata Katiba mpya haiwezi kuwa lelemama.
Tutapata katiba mpya mapema kwa kuidai kupitia chombo ambacho kitaulenga upatikanaji wake kama agenda pekee.
Vyama vya siasa wana agenda zao. Watu binafsi nao wana agenda zao pia zinazoweza kuwa zaidi ya hii.
Ni vyema vyama siasa, watu binafsi na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
Habari wanandugu,
Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja
Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.