Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

system hacker

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
426
706
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.

Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.

Then, nenda chuo anza a professional life; yaani anzia Diploma ya ndoto zako miaka miwili hapa.

Kikawaida, kukamulia Diploma huwa ni nyepesi sana ku score Grade nzuri (ceteris peribus) yaani First Class.

Then, endelea na Degree yako miaka 3 na kuendelea...kaamua pia ukiweza ila cha muhimu usikose upper second.

Hapo shule imeisha. Tunaenda mtaani kusaka ajira.

======

Tupo mtaani. Ajira zinatangazwa na Diploma....unaingiza Team gamba la Degree unaliweka mafichoni.

Shortlist inaanza.....trust me huwezi kukosekana. Why? Cheti chako cha F.4 ni kizuri mno kitakubeba. Ujue wengi wanaopenda kuunga unga vi certificate na vi diploma ni wale ambao F.4 walizingua hivyo ww unaibuka na kupitia katikati yao.....are you getting the logic?

Interview umeitwa.....unapiga interview kwa exposure za ki degree maana kimsingi ni kweli una degree. Trust me unashinda na unaajiriwa.....mbeleni huko unapenyeza gamba rasmi kuendana na utamaduni wa eneo lako la kazi...hii sio dhambi.

Nikusaidie kukumbusha....graduates mtaani ni 'saturated' tunaweza kusema hivyo ki kemia.

Part two......

Mtu aliyeanzia mazaga yake Diploma akiwa mzima kichwani ana nafasi nzuri zaidi ya kukamua jiwe (Degree) bila kutaabika sana.

Mtu aliyeanzia Dip pia ana uwezo mkubwa wa kuwa na exposure ya madude yake kwa kuwa alianza kuhangaika nayo kitambo since Diploma.

Note: Kama una ndoto za masuala ya ki afya hii route sishauri itumike.

Niite system hacker
 
Ni kweli kuna watu kibao wameshindwa kuajiriwa simply wana degree na wanakuwa regarded as ni overqualified.Wanaopewa priority ni certificate au diploma .nchi ngumu hii duuh

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Inshort hawana Ela ya kuwalipa watu wa degree
 
Ni kweli kuna watu kibao wameshindwa kuajiriwa simply wana degree na wanakuwa regarded as ni overqualified.Wanaopewa priority ni certificate au diploma .nchi ngumu hii duuh

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hao wanapewa vipaumbele sababu ya vimishahara vinavyolipwa kwenye hio sehemu wanayotoa ajira, wanaona kabisa wewe na degree yako pamoja na huo mshahara watakaokupa lazima kazi utafanya kimagumashi
 
Degree wanakosa ajira kisa mshahara, sio blah blah Unazo sema wee hapa.
 
Jamaa yuko sahihi lkn kuna mahali kambwela...Nikupe mfano sisi wa idara ya engineeering...Kuna baadh ya Taasis (haswa amabazo vina mandhar ya uviwanda uviwanda..ex. Tanesco..TPA..TRC ) ni ngumu sanaa sanaa sanaa kusikia wanataka engineer mara nyingi huwa wanachukua technician na artisan then mbeleni wakitaka engineer wanachukua ndani ya kiwanda (yn wanapandisha wale wa dip au artsan wenye degree zao) so Kupitia diploma nafikir kuna exposure kubwa kwny masuala ya ajira...then ata waajir wa sekta binafs wanaamin kuliko kuwa na mtu wa degree mmoja bora achukue wa dip wa2 ili ufanisi wa kaz uongezeke...ndomana uwez kuta sehem wanaitajika maengineer 30 ( ukikuta hvo labda intern) ...ngoja niishie hapo ila jamaa somehow yuko sawaa
 
siyo somehow, jamaa yuko sawa kabisa

Engineers hasa huko tanesco, wanamsomesha technician, akimaliza anarudi kuwa Engineer
technician(na artisan) nafasi za ajira nyingi maana yeye ni mzalishaji
 
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.

Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.

Then, nenda chuo anza a professional life; yaani anzia Diploma ya ndoto zako miaka miwili hapa.

Kikawaida, kukamulia Diploma huwa ni nyepesi sana ku score Grade nzuri (ceteris peribus) yaani First Class.

Then, endelea na Degree yako miaka 3 na kuendelea...kaamua pia ukiweza ila cha muhimu usikose upper second.

Hapo shule imeisha. Tunaenda mtaani kusaka ajira.

======

Tupo mtaani. Ajira zinatangazwa na Diploma....unaingiza Team gamba la Degree unaliweka mafichoni.

Shortlist inaanza.....trust me huwezi kukosekana. Why? Cheti chako cha F.4 ni kizuri mno kitakubeba. Ujue wengi wanaopenda kuunga unga vi certificate na vi diploma ni wale ambao F.4 walizingua hivyo ww unaibuka na kupitia katikati yao.....are you getting the logic?

Interview umeitwa.....unapiga interview kwa exposure za ki degree maana kimsingi ni kweli una degree. Trust me unashinda na unaajiriwa.....mbeleni huko unapenyeza gamba rasmi kuendana na utamaduni wa eneo lako la kazi...hii sio dhambi.

Nikusaidie kukumbusha....graduates mtaani ni 'saturated' tunaweza kusema hivyo ki kemia.

Part two......

Mtu aliyeanzia mazaga yake Diploma akiwa mzima kichwani ana nafasi nzuri zaidi ya kukamua jiwe (Degree) bila kutaabika sana.

Mtu aliyeanzia Dip pia ana uwezo mkubwa wa kuwa na exposure ya madude yake kwa kuwa alianza kuhangaika nayo kitambo since Diploma.

Note: Kama una ndoto za masuala ya ki afya hii route sishauri itumike.

Niite system hacker
Hii njia ni zuri kwa some carder mfano;
Engineering kwa baadhi ya disciplines mfano civil, mechanical, electrical, Telecommunication, computers etc.... ambapo kwa kipindi hicho utakuwa zaidi kufanya kwa level ya Operational after a while kwa sababu ss utakuwa ushaingia kwenye ajira u can go further education kwa maana ya Bachelor Degree, na hata masters kwa ajili ya managerial. Baada ya kumaliza sasa unakuwa upo qualified kwa position zenye qualification hizo ingqwa siyo lazima ukatapa kwa wakati huo kikubwa ni kwamba unayo elimu ambayo ina suite hata ikitokea nafasi upo kwenye list ya watakaofikiriwa!!!

Shortcut hii haiwahusu wale wanaotaka kuwa academicians etc.....
 
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.

Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.

Then, nenda chuo anza a professional life; yaani anzia Diploma ya ndoto zako miaka miwili hapa.

Kikawaida, kukamulia Diploma huwa ni nyepesi sana ku score Grade nzuri (ceteris peribus) yaani First Class.

Then, endelea na Degree yako miaka 3 na kuendelea...kaamua pia ukiweza ila cha muhimu usikose upper second.

Hapo shule imeisha. Tunaenda mtaani kusaka ajira.

======

Tupo mtaani. Ajira zinatangazwa na Diploma....unaingiza Team gamba la Degree unaliweka mafichoni.

Shortlist inaanza.....trust me huwezi kukosekana. Why? Cheti chako cha F.4 ni kizuri mno kitakubeba. Ujue wengi wanaopenda kuunga unga vi certificate na vi diploma ni wale ambao F.4 walizingua hivyo ww unaibuka na kupitia katikati yao.....are you getting the logic?

Interview umeitwa.....unapiga interview kwa exposure za ki degree maana kimsingi ni kweli una degree. Trust me unashinda na unaajiriwa.....mbeleni huko unapenyeza gamba rasmi kuendana na utamaduni wa eneo lako la kazi...hii sio dhambi.

Nikusaidie kukumbusha....graduates mtaani ni 'saturated' tunaweza kusema hivyo ki kemia.

Part two......

Mtu aliyeanzia mazaga yake Diploma akiwa mzima kichwani ana nafasi nzuri zaidi ya kukamua jiwe (Degree) bila kutaabika sana.

Mtu aliyeanzia Dip pia ana uwezo mkubwa wa kuwa na exposure ya madude yake kwa kuwa alianza kuhangaika nayo kitambo since Diploma.

Note: Kama una ndoto za masuala ya ki afya hii route sishauri itumike.

Niite system hacker
Umewasanua vyema kabisaa.

Huu ndo ukweli wa kuishi nao
 
Back
Top Bottom