Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu.
1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc
2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi mwa weupe: kwa mfano kwa ndani ya nchi bado uchumi wetu umeshikiliwa na wahindi na waarabu na kwa nje ya nchi mabeberu wale wale tuliowafukuza ndiyo wanaotupangia nini tuwauzie na kwa bei waitakayo.
3. Nchi haina viwanda na hata vikiwepo hatuna utaalamu wa kuvisimamia.
4. Elimu yetu imekufa siyo primary, secondary wala vyuoni kilichobaki ni mzimu wake
5. Afya nayo iko icu. Haishangazi kuona viongozi wetu wakikimbia kwenda Dubai, SA, India, ujerumani etc kupima malaria au uti
6. Rushwa, ufisadi, kulamba asali. Hii ndiyo miradi ambayo watanzania tunaweza kujidai kwamba tumepiga hatua kubwa. Na ninaami ifikapo 2025 tutakuwa wa kwanza Afrika kwa kumiliki miradi mingi ya aina hiyo.
Je, kuna ambao wamesahau hii miradi ya kimkakati??? Tangold, meremeta, kagoda, richmond, iptl, escrow, 1.5bn za jiwe etc.
6. Je, tuna lolote la kuifanyia nchi yetu?