kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ERTUGRUL BEY

    Eti Mabaharia ambao huwa mnafeli kupata namba za Warembo huwa Mnafeli wapi?

    Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
  2. Kyambamasimbi

    Unapolalamika mgao wa umeme jiulize wewe una miti mingapi kwako ya kuvuta mvua ili mito isikauke na kupata umeme?

    Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
  3. Eleminator

    Kipimo cha mkojo Huchukua muda gani kupata majibu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo Cha ajabu Baada ya kurudisha sampuli...
  4. ThisisDenis

    Nani anaweza kuniwezesha kupata laini za uwakala

    Ningefurahi sana kama ningeshikwa mkoni. Ili niweze pata laini za uwakala bila changamoto
  5. B

    Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  6. frado

    Mambo 4 ya kufanya Instagram kupata followers zaidi

    Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo BIO OPTIMIZATION Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
  7. G

    Ukiwa muajiriwa unaweza kupata mkopo wa Chuo Kikuu?

    Habari wanaJF. Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human resource" . Sasa anataka kujua endapo akiomba mkopo atapata? mwenye uzoefu wa hii kitu kwa miaka ya hivi...
  8. eliakeem

    Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  9. T

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  10. kocha Nabi

    Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  11. EvilSpirit

    Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  12. Wababa13

    Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  13. L

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

    Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu Tuonyeshe love,kwa rafiki zetu wanaotupenda na kutupigania!
  14. Adejohn

    Jinsi ya kupata masoko kwa upande wa Export Bandarini Dar

    Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko! Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
  15. DELETED ACCOUNT

    Yanga mmetoa kafara gani kupata ushindi huu?

    Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu. Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
  16. naliwe

    Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

    Wakuu naomba msaada katika hilo.
  17. BARD AI

    Facebook yafukuza wafanyakazi 11,000 baada ya hasara ya Tsh. Tilioni 13

    Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13. Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
  18. Analogia Malenga

    Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  19. MakinikiA

    Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  20. Ahmed Saidi

    Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Back
Top Bottom