kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu

    .Kwa sababu hili ni jukwaa la urafiki na mahusiano, basi itakuwa sehemu sahihi kupitia kitabu hiki. How to win friends and influence people JINSI YA KUPATA MARAFIKI NA KUSHAWISHI WATU DALE CARNEGIE Muandishi: Dale Carnegie, 1936. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inawezaje kupata kuaminiwa tena na nchi za Afrika?

    Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena katika bara la Afrika, madhumuni yake halisi ni kugeuza Afrika kuwa uwanja wa mashindano kati ya...
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

    Habari za asubuhi ndugu na marafiki! Kupevuka kiakili ni kuyajua ya Ulimwengu! Dini karibu zote pia zinatumia sehemu ya formula. hii ya Ulimwengu ambayo kuijua siyo lazima usali dini zilizokuja afrika kwa majahazi na meli! Nitaufupisha Uzi huu kwa maelezo machache kwani somo hili ni pana sana...
  6. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkitaka uraia pacha basi rahisisheni taratibu za watu kupata passport na kutoka nje ya nchi

    Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Serikali, tufanye nini kupata mbolea ya kukuzia wilayani Kakonko?

    Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu. Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua. Swali: Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  10. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive

    Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano. Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
  11. vibertz

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata Generator Kwa Bajeti ya 200k

    Habari za Leo Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k kwa ajili ya barber shop nipo DSM Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
  13. system hacker

    JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

    Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu. watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kasia, je naweza kupata ajira pale airport niwe nafungulia milango ya ndege?

    Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

    Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland. Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania? Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata vioo vya site mirror pekee vya IST

    Habari wakuu, Wapi naweza kupata vioo vya site mirror ya IST vioo vyangu watoto wa mtaani walirusha jiwe kikapasuka Site mirror ni nzima, kioo ndio kina tatizo
  18. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayejua mahali pakupata filamu ya Vuta N'Kuvute

    Habarini wana jamvi, Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi bidhaa hizi

    1. Lubricant and coolant 2. Mechanical spare parts 3. Laboratory chemicals and water treatment chemicals 4. Propane refrigerant 5. Valves spareparts 6. Gas engine turbocharger.
  20. Eleminator

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
Back
Top Bottom