kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Familia yaomba Serikali iisamehe deni la Tsh 10m ili wapate mwili wa ndugu yao mochwari. Profesa Janabi atoa utaratibu wa kuchukua mwili

    Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari. Mzee Swalehe alifariki katika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa tatizo la mtoto kupata degedege

    Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
  3. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio ya bei na sehemu naweza kupata "curved monitor"

    natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  8. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuharakisha Katiba Mpya tuunde 'Coalition of the Willing'

    Kupata Katiba mpya haiwezi kuwa lelemama. Tutapata katiba mpya mapema kwa kuidai kupitia chombo ambacho kitaulenga upatikanaji wake kama agenda pekee. Vyama vya siasa wana agenda zao. Watu binafsi nao wana agenda zao pia zinazoweza kuwa zaidi ya hii. Ni vyema vyama siasa, watu binafsi na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuwasaidie wananchi kupata haki zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
  11. Geoid

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kupata nafasi ya kazi migodini kama hauna connection?

    Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kanuni 3 za kupata fedha.

    Leo nikiwa kwenye mafunz fulani,nilikutana na hili somo nkaona nisiache kuliandika humu: Mnaweza pia kulisoma kupitia Upendokitundu ndani ya masaa 24 tu.Ukikuta kuna matangazo utapaswa kuyasoma,kutazama video,ndipo utapelekwa kwenye blog au somo moja kwa moja. 1.Kuomba. Njia hzi ni kwa...
  13. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mafao ya PSPF

    Jamani maisha magumu na akiba haiyeyuki kirahisi, Nilifanya kazi sehemu moja ni private kama 5 yrs ago so sikuwahi fatilia mafao yangu sasa baada ya jua kali la DSM nikaona nipitie nichungulie kama mzigo upo Mungu mkubwa mzigo niliukuta full. Sasa nikaulizia process gani nifate ili niweze...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

    Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua. Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.? Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  17. system hacker

    JamiiForums Tanzania Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

    Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko. Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14. Then, nenda...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  19. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 baada ya kupata uhuru: Ni faida gani tuliyoipata kwa kuwa huru?

    Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc 2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
Back
Top Bottom