kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani watoa donge la Dolar milion kumi kupata taarifa za Hashim Finyan Rahim al-Saraji!!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu Hashim Finyan Rahim al-Saraji, anayejulikana pia kama Abu Ala al-Walai, kiongozi na Katibu Mkuu wa kundi la Iraq linaloungwa mkono na Iran, Kataib Sayyid al-Shuhada.
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

    Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kupata Mwanamke ambaye atanibadilisha kiroho

    Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ? Lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree Najua sasa hivi Setfree atakuwa kanisani...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

    Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunataka nchi nzima kupata mawasiliano 100% Kufikia 2030

    Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote. Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala "CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mchezo wa wananchi kuagizwa kununua dawa mtaani haukubaliki, duka la mtaani linapata wapi dawa ambazo serikali haiwezi kuiapata?

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao

    Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022. Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
  15. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Njia nyingine mbadala ya kupata wazo la Biashara(Business Idea)

    Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi? Kwa sababu ÷ • Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola kukosa mechi mbili

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hataruhusiwa kuwa kwenye benchi la ufundi katika mechi dhidi ya Chelsea FC na West Ham United FC baada ya kupata kadi sita za njano. Hata hivyo, Guardiola anatarajiwa kurudi kwenye benchi kwa ajili ya fainali ya EFL Cup Final (Carabao Cup) dhidi ya Arsenal...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ni sahihi kusoma certificate baada ya kuhitimu shahada ili kupata fursa za ajira?

    Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  19. Anana_

    JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila...
  20. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom