Wakuu kwema,
Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba
Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze.
ASANTENI.
Tuna options mbalimbali katika maeneo ya Upanga, Masaki, Oysterbay, Mikocheni na maeneo mengine ya Dar es Salaam
Apartments za Kisasa
Nyumba za Kupanga na Kuuza
Viwanja vya Uwekezaji
Commercial Properties
Piga Simu au WhatsApp: 0784 225 000
Kayinga Properties – Your Trusted Real Estate Partner
Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.
Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.
Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.
Naishia hapa....
Huwa nikiingia chatgpt kwenye pc naona kuna sehemu ya trial kujaribu kwa mwezi moja bure
Ila nikiingiza details za kwenye kadi ya mpesa visa card inakataa
Kuna rafiki yangu alitumia vpn ya Marekani na kupata option ya paypal ikakubali lakini bado yupo kwenye ofa ya kawaida
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo, wala sio afya wala sifa kuwa na control ya mawazo ya upande mmoja tu."- Amesema Zitto Kabwe
Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.
Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.
Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato.
Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
Ni mwanzo tulivu sana wa weekend... maeneo fulani nimetulia na PC yangu nikaona nieleze kinaga ubaga kuhusu jambo hili lililoshamiri mno miongoni mwetu tulio wengi. ingawa jmbo hili halisemwi semwi sana ila limejiotea mizizi mno na bila shaka athari zake ni mbaya sana... nitazieleza mwishoni...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji unasumbuliwa kuliko maelezo.
Unaweza kufuatilia kwa muda wa mwaka mzima hujapata cheti cha mtoto wako...
Anonymous
Thread
kupata
kuzaliwa
pemba
vyeti
vyeti vya kuzaliwa
wilaya
Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
Anonymous
Thread
katika
kujitolea
kupata
ofisi
posho
serikali
stahiki
unyonyaji
uwepo
watumishi
Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri.
Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika.
Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai.
Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
elimu
elimu ya
habari
hana
inahitaji
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kisanga
kupata
miaka
miaka mitatu
mpya
rais
rais samia
rasimu
samia
samia hana
tume
wapi
washauri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za mtumiaji ambae amewekeza kwenye dse
Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye...
Unapokaribia mlango wa baraka kufunguliwa vikwazo utokea kwa nini
Danieli 10:13
Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi.
Katika kifungo hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.