kuondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

    wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli, Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ? ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Fid Q aelezea sababu ya Muziki wa Gospel kuondolewa kwenye tuzo

    Akiwa katika Kofia ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Fid Q ametolea ufafanuzi suala la kutokuwepo Vipengele vya muziki wa Injini katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA akieleza sababu kuu mbili! 1. Aina ya Wadhamini na bidhaa zao ambazo pengine hazifungamani na itikadi za kidini...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili Ibara za kubaki, kuondolewa au kufanyiwa marekebisho kwenye Katiba ya Tanzania

    Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT. Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza naona ibaki ilivyo, ya pili ifanyiwe marekebisho na ya tatu iondolewe kabisa. Ukizisoma ibara hizo kwa...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Leo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima wanakwenda kuyaondo. Waziri Ummy amehoji...
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo yapi ambapo wamachinga wamerudi baada kuondolewa?

    Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao. Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars kuondolewa kwenye njia ya kwenda Qatar ni baraka toka kwa Mungu

    Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini. Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    Picha: Raiswa Chile Sebastian Pinera Baraza la senate la Chile limepinga mchakato ulioanzishwa na upinzani uliolenga kumuondoa madarakani Rais Sebastian Pinera. Upinzani ulitaka Pinera ang’olewe madarakani kufuatia sakata lililofichuliwa kwenye nyaraka za Pandora na pia kutokana na hatua yake...
  8. jagular

    JamiiForums Tanzania Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Wamachinga kuondolewa pembezoni mwa barabara linatupa wakati mgumu zaidi. Tumesimama katikati

    Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani akupe jibu. Je, Serikali kuwaondoa Wamachinga pembezoni mwa barabara ipo sahihi au imekosea. Utasikia...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

    Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

    Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

    Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imependekeza Jerry Silaa kuondolewa kwenye Bunge la Afrika (PAP) na kutohudhuria vikao 2 vya Bunge

    Jerry Silaa KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili huo na kupendekeza asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo, pamoja na kuondolewa uwakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP)...
Back
Top Bottom