kuondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

  2. M

    JamiiForums Tanzania Naanda petition ya kumuondoa member anayeitwa Dennis Roberts na nyuzi zake zote zifutwe jamiiforums

    Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana, Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais Nyuzi zake zote...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Afanyiwa upasuaji na kuondolewa mimba Iliyodumu kwa miaka minne

    Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga imefanikiwa kumfanyia upasuaji na kumtoa mwanamke mwenye miaka 55 ujauzito aliodumu nao kwa miaka minne. Kwa mujibu wa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina Mama na Uzazi wa hospitali Augustino Maufi amesema ujauzito huo uliokuwa na uzito wa kilogramu 1.6...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia nchini DRC kuanzia Machi 20, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Deus Ndilanha apinga kupunguzwa au kuondolewa kwa gharama za kumuona Daktari Hospitalini

    Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Deus Ndilanha amependekeza kutoondolewa wala kupunguzwa kwa gharama za kumuona daktari hospitalini, akidai kuwa kuondolewa kwa gharama hizo kunaweza kushusha mapato ya baadhi ya hospitali na kufanya baadhi ya watoa huduma kushindwa...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

    Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati. Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know. Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenye changamoto ya Afya ya akili kuondolewa kwenye Daftari la kudumu la Wapiga Kura

    Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura . Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika. Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Katavi walalamikia Wagombea wao walioapa kama Mawakala kuondolewa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kuchela amebainisha kutokea kwa kasoro nyingi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. Akizungumza mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Kashato, Manispaa ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
  16. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa zamani wa Marekani atoa wito wa kuondolewa mapema kwa Biden

    Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatika karibu kila siku jamani! Au ndio changamoto za kuondolewa kwa Songas zimeanza?

    Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika uzalishaji wa umeme nchini, na kuondoka kwake kunaweza kuleta changamoto za upatikanaji wa nishati kwa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Dodoma kuondolewa hadhi ya jiji iliyopata awamu iliyopita?

    Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu? Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya Morogoro ambayo sio jiji.
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
Back
Top Bottom