kuondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

    Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!? Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuondolewa sifuri mbili kwenye sarafu na noti zote za Tanganyika

    Nchi ya Zanzibar wataamua wenyewe cha kufanya, ila upande wa Tanganyika, napendekeza ziondolewe sifuri mbili kwenye sarafu zake zote. Kwa mantiki hiyo:- 1.) Tsh. 100/= itakuwa Tsh. 1/= 2.) Tsh. 200/= itakuwa Tsh. 2/= 3.) Tsh. 500/= itakuwa Tsh. 5/= 4.) Tsh. 1,000/= itakuwa Tsh. 10/= 5.) Tsh...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana, Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kawaida alia kuondolewa mikopo ya halmashauri kwa vijana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Kawaida ameitaka Serikali Kuu na Mkoa wa Dar es Salaamu kutekeleza mambo manne ikiwemo kuharakisha mchakato wa kurejea upya mikopo ya asilimia 10 iliyositishwa Aprili mwaka huu. Mambo mengine ni kuhakikisha inamaliza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  12. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

    Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa. Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vikwazo 10 vya Kibiashara Visivyo vya Kiforodha (NTBs) Kuondolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

    C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu. Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

    Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That Ni kama mashindano ya...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

    Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni. Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache...
  20. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Trusted Lieutenants wa Hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa, amebaki nani?

    Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao. Na sasa wanapangiwa majukumu mengine. Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati Magufuli ambaye hana siku nyingi atapangiwa majukumu mengine?
Back
Top Bottom