Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo waungana "eti" ili kuondoa ushindani jimbo la Iramba

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati yake na Mwigulu pale jimbo la Iramba na hivyo kuashiria kuwa Mwigulu arelax tu Jimbo la Iramba ni lake.

Kilichosemwa ni upuuzi mtupu - kwani Kitila na Mwigulu wake hawajijui kuwa hawapendwi tena na wananchi wanaendelea kuwaendekeza tu kwa sababu ya hofu ya kumwogopa Mwigulu. Mwigulu huyu amekwuwa akitisha sana watu eti ukitaka kugombea na kama unamfuata mamba kwenye kina kirefu.

Huyu Mwigulu hata watu wafe - kama ilivyotokea mwaka ule pale Ndago yeye anaona kipaumbele chake ni kupata tu madaraka ya ubunge. Mwigulu ni katili wa kutupa na uongozi amekuwa akipata kwa mbinu chafu chafu chafu chafu.

Huyu Kitila alijimaliza yeye mwenyewe kutokana na kutokuwa mtu wa msimamo. Huyu hafai kuwa kiongozi kwani kwake kuwageuka wafuasi wake kwa ajili ya maslahi binafsi ni kitu rahisi sana.

Kwa ujumla hawa watu wawili wanataka kujifanya siasa na uongozi kwa wananchi wa Iramba ni wao wawili tu. Mwigulu kafoka foka hapoo eti anaona kuna watu wameanza kuongelea mambo ya Uchaguzi. Hovyo kabisaa! Hata leo kanisani DOdoma - sehemu ya Ibada - Mwigulu kaonekana anaongelea mambo ya kampeni za Mwaka 2025. Yaani yote hiyo kutisha tisha watu tu.

Akiwa Iramba eti anasistiza anausuburi kwa hamu Uchaguzi wa 2025 na kuwalalamikia amabao wamweshaanza Kampeni. Yaani anazuia wenzake wakati yeye anajikampenia kuwa anasubiri kwa hamu Uchaguzi wa 2025 - hovyo kabisa.

Yaani wanasiasa wanadharau sana hadhira zinazowasikiliza ndiyo maana wanaropoka ropoka hovyo. Na mwaka 2025 Dkt, Mwigulu hupati ubunge wewe. NINAKUHAKIKISHIA. Humjui mama weweee!
 
Wewe endelea kuandika humu kila uchwao lakini tambua watu wa Iramba huwa hatuongei sana, kazi yetu ni ileile tu "Tunachukua tunaweka Waaaa"

Dkt Mwigulu Nchemba amefika level za juu sana, nafasi ya ubunge ni nafasi ambayo ameshaitendea haki, kwasasa Taifa linawaza limpe jukumu kubwa zaidi asaidie nchi nzima kama ambavyo amesaidia kwenye uchumi.

Mambo yenu ya kukaa kupika majungu dhidi ya nzangamba afu ikija uchaguzi anawalaza na viatu muache. Si mlikuja wote kwenye kutia 2020 mlipata kura ngapi mkijumlisha wote?

Huo umoja wenu umefeli na utaendelea kufeli.

Mwigulu ni KAKA na Kingpin wa Kanda ya kati, nyie endeleeni kuosha nepi za wajuukuu ndio kazi mnayoweza.
 
mtaendelea kupauka mpaka mkome watu wa iramba huwez kutofautisha mzee na kijana maana wote wamepigika na kukondeana..
 
Wewe endelea kuandika humu kila uchwao lakini tambua watu wa Iramba huwa hatuongei sana, kazi yetu ni ileile tu "Tunachukua tunaweka Waaaa"

Dkt Mwigulu Nchemba amefika level za juu sana, nafasi ya ubunge ni nafasi ambayo ameshaitendea haki, kwasasa Taifa linawaza limpe jukumu kubwa zaidi asaidie nchi nzima kama ambavyo amesaidia kwenye uchumi.

Mambo yenu ya kukaa kupika majungu dhidi ya nzangamba afu ikija uchaguzi anawalaza na viatu muache. Si mlikuja wote kwenye kutia 2020 mlipata kura ngapi mkijumlisha wote?

Huo umoja wenu umefeli na utaendelea kufeli.

Mwigulu ni KAKA na Kingpin wa Kanda ya kati, nyie endeleeni kuosha nepi za wajuukuu ndio kazi mnayoweza.
Wa 2020 wala hawapo tena. Kwa sasa Dkt Mwigulu analetewa kijana wa Form IV tu kuja kumng'oa!
 
Back
Top Bottom