kuomba

  1. Hivi Kuna mwalimu amewahi kuomba extra duty allowance akanyimwa ?

    Habari! Kila mwajiriwa anamjua mwajiri wake, hata walimu bila mashaka wanamfahamu mwajiri wao. Nadhani wengi wako chini ya wakurugenzi wa halmashauri wanazofanyia kazi. Sheria za kazi ziko wazi kabisa, kuwa masaa ya kazi ni 8 , na mtu akifanya ziada alipwe ziada. Je, walimu wa zamu ambao huwa...
  2. D

    Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

    Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
  3. Sala ya kuomba mchumba mwema

    Kwa wale mnatafuta wachumba wema Nimewarahisishia kazi.
  4. Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  5. Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  6. Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  7. Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
  8. Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  9. Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  10. Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  11. Malawi yaelemewa na kuomba msaada kukabiliana na Kipindupindu

    Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700 Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye...
  12. Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  13. Jumuiya ya Bonde la Usangu yamtaka Balile kuomba radhi kabla ya haijamshtaki

    Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo. Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
  14. Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  15. Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
  16. Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
  17. Je, ukiwa unaomba ama ukitaka kuomba, Mungu anakua anajua unachotaka kuomba ama hajui hadi uombe akusikie?

    Biblia inasema Mungu anajua kila kitu, all knowing, alpha na Omega, mwanzo na mwisho, mjuzi wa vyote. Sasa nakua najiuliza, kabla ya kuomba ama wakati unaanza kuomba, je mungu anakua anajua in advance unachotaka kuomba ama anakua hajui hadi uombe kwanza? Na kama anakua anajua utakachokiomba...
  18. Wadada wamezidi kuomba pesa

    Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu. Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo...
  19. L

    Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  20. Tuendelee kuomba Dua iendelee kunyesha

    Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…