kuomba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

    Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
  3. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

    Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba watu wamechoka kuomba au imani yao ni ndogo kulinganisha na wanaoitwa manabii/ mitume?

    Jamani, siku za leo kuna watu wengi sana wanaamini manabii pengine kuliko hata wanavyojiamini wao wenyewe. Baadhi hawafanyi maamuzi hadi waombe ushauri kwa hao wanaowaamini. Kwa upande wangu maswali ni mengi. Kwamba watu hao wamechoka kuomba wao wenyewe kwa imani zao, au imani yao ni ndogo?
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mwalimu amewahi kuomba extra duty allowance akanyimwa ?

    Habari! Kila mwajiriwa anamjua mwajiri wake, hata walimu bila mashaka wanamfahamu mwajiri wao. Nadhani wengi wako chini ya wakurugenzi wa halmashauri wanazofanyia kazi. Sheria za kazi ziko wazi kabisa, kuwa masaa ya kazi ni 8 , na mtu akifanya ziada alipwe ziada. Je, walimu wa zamu ambao huwa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

    "Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu? Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
  7. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Sala ya kuomba mchumba mwema

    Kwa wale mnatafuta wachumba wema Nimewarahisishia kazi.
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  14. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yaelemewa na kuomba msaada kukabiliana na Kipindupindu

    Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700 Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Bonde la Usangu yamtaka Balile kuomba radhi kabla ya haijamshtaki

    Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo. Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
  18. georgeallen

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
Back
Top Bottom