kuomba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaoungana nami Kesho kuomba Uraia wa muda wa Taifa la Ghana tutambuane tafadhali

    Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania. Mume kamaliza Kazi leo tarehe 19 Desemba, 2023 hivyo ni matumaini yetu kuwa na Mke nae Kesho tarehe 20. Desemba...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

    Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda . Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
  3. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake. Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli waweza kuomba jambo kwa Mungu likatokea?

    Ilinichukua muda sana kugundua yafuatayo katika maombi: 1. Yesu ametupatia mamlaka kufunga chochote hapa duniani, au kufungua chochote hapa duniani, na kitafungwa au kufunguliwa na mbinguni. maana yake ni kwamba kitatimia hivyo hivyo kama ulivyotamka. Unaweza kuamuru chochote ambacho maadui...
  7. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi. Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu. 2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri." 3 - "Basi...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

    Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie. Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuomba silaha ilizouza zirudishwe, hali mbaya

    Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni. Unamuuzia mtu sime au upanga kisha unamfuata na akurudhishie maana una shida nawo... Russia is trying to get back some of the...
  10. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  11. Low level

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  13. Last Philosopher

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumaliza tamaa kwa kudhibiti au kuomba?

    Kutamani ni hisia ambayo tumeumbwa nayo na haipo kimakosa miilini mwetu. Binadamu aliyekamilika lazima atazalisha hisia yoyote ile kutokana na anachokutana nacho kama njia moja wapo ya mawasiliano na mwili wake. Na hakuna hisia yoyote kwenye mwili isiyo na maana kwako. Kwanini hisia ya...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo anayekiri kuishiwa na kujiona masikini anaikosea heshima hii aya

    Ukristo no taasisi ya imani sio ya kisayansi. Mambo ya kisayansi yanahitaji ushahidi wa kugusika. Ila mambo ya imani yanahitaji uamini kauli za Mungu bila kujali uhalisia. Sasa hii kauli ya Maandiko ukiishika na kuiamini itakupa ujasiri wa kuoata chochote popote wakati wowote. Itakupa nguvu ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

    Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  18. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani?

    Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Unapokwenda kuomba mkopo bank unakumbuka kusoma vigezo na masharti?

    Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote. Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Back
Top Bottom