kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  2. Mboka man

    Nini cha kufanya endapo wazazi wako watamkataa mchumba unayetaka kumuoa au kuolewa naye?

    Hakuna safari ndefu kama safari ya mahusiano huwa ina mabonde na malima lakini Moja kati ya changamoto kubwa katika mahusiano kuelekea ndoa ni wazazi kupinga au kumkataa mchumba unayetaka kumuoa au kuolewa kwa sababu mbalimbali wanazozijua wao. Ni kitu gani cha kufanya katika hili?
  3. Informer

    Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  4. Analogia Malenga

    Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  5. Gily Gru

    Swali fikirishi kwa waliooa au kuolewa

    Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu? Picha haihusiani ila uzi bila...
  6. Equation x

    Tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni lipi?

    Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu wanaokuzunguka kuwa upo kwenye mahusiano au ndoa?
  7. Ramon Abbas

    Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

    Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha. Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30. Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala. Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu Mahari ipo tayari narudia...
  8. Equation x

    Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

    Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi kuliko wanaume; sasa usipotumia ujuzi wa kuzaliwa, utajikuta unazeeka mwenyewe bila mwenza. Ndio maana...
  9. Fbn

    Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

    Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe! Muonekano wako Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
  10. Ferruccio Lamborghini

    Unataka kuolewa? fuata haya...

    ‘Dodo’, ile ngoma la King Kiba, kalisikilize tena leo. Yawezekana hukuelewa jana na majuzi ile. Ni ngoma ambayo unaweza kuitumia kusaka ‘waifu’ flan hivi na ukafanaikiwa. Ni ngoma ambayo inakuwa tamu kadiri inavyoishi. Yeah (Ye Baba) Kupenda ni vitendo, Si maneno maneno, Leo nakupa kitengo...
  11. M

    Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

    Habari zenu wakuu, Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha. Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe...
  12. S

    Wadada wenye akili, heshima na adabu ni ngumu sana kuolewa dunia ya leo. Ndoa zimebakia kwa micharuko tu

    Wdada waliojitunza na wenye kuishi kwa kufuata miiko na maadili hawaolewi. Kwasabb watu waovu ni wengi kuliko wema. Dunia imejaa ubatili na hivyo wenye ubatili wametamalaki. Wakaka wengi wametawaliwa na tamaa za kishetani. Akili zao ziko kwenye "kuonja", kuangalia makalio, shepu na rangi ya...
  13. mbegubora29

    Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

    Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema. Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini...
  14. J

    Tusiwasimange wanawake kwa kuchelewa kuolewa

    Habari za mchana huu. Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo. Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio nzuri. Naomba tusiwasimange wanawake ambao hawajaolewa kwa maneno ya kejeli au dharau. Kufanya hivyo...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mkenya adai kuolewa na Roho Mtakatifu

    #Taarifabilamipaka Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu. Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa...
  16. Kukudume2013

    Kuolewa ni kuolewa tu kuliko kudanga

    Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk Suluhisho la haya yote ni kukubali uke wenza, yaani ukubali kuolewa mke wa pili au watatu au wanne na hapa ni wewe mwenyewe kuwa tayari...
  17. MamaSamia2025

    Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  18. B

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  19. Mr Chromium

    Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

    Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda! Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience. Eehh KAMA UMEOA AU UNADATE...
  20. Kifaru86

    Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

    Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi? Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
Back
Top Bottom