kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mapepo ya Harusi: Hivi inakuwaje wasiotuthamini wanatupa thamani wakiwa na shida ya kuoa au kuolewa?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi? Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
  5. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

    Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  8. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

    Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah Ukishindwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma. Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake awe na umri kati ya miaka 23 - 28, kazi au biashara siyo kipaumbele, awe muislamu, asiwe ameolewa...
  10. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Bora uchelewe kuoa au kuolewa ili ukutane na yule mtakaependana kutoka moyoni

    Ndoa nyingi siku hizi zimekuwa zikivunjika mapema sana yaani watu wanaowana baada ya miaka miwili tu ndoa inavunjika na muda mwingine unakuta harusi pamoja na maandalizi mengine yalikuwa ni ya gharama kubwa saana. Tatizo kubwa nililokuja kuliona asilimia kubwa ya waolewaji wengi wanaolewa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kimewafanya wadada kuwa tayari kuolewa upesi upesi?

    Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali Sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo...
  12. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo: a) Rangi ikiwa nyeupe 15% b) Muonekano kwa ujumla 25% c) Chura 35% d) Mguu 5% e) Uzuri wa tabia 5% f) Umbo lake 5% g) Sifa ya familia anayotoka 5% h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5% Je, wewe...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bikira wa miaka 70 anatafuta mchumba, adai yuko tayari kuolewa

    Mwanamke huyo raia wa Congo, alieleza kuwa alijitolea maisha yake yote kuwalea ndugu zake na sasa yuko tayari kuolewa iwapo atapata mwanaume. Akizungumza katika mahojiano na AfriMax, alisema: "Kilichofanya asiolewe ni kwa sababu sijapata mwanaume anayenifaa. Lakini nilipokuwa bado msichana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira. Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira. Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
  15. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu asema hayupo tayari kuolewa

    Wanangu wa udaku, Wema Sepetu kupitia kipindi chake cha 'Cook with Wema amezua balaa.' Msikilize hapa:
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu; Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi. Nikikumbuka jinsi dunia...
  18. Mr Eggo

    JamiiForums Tanzania Tunaoa au kuolewa kwa sababu zisizo sahihi

    Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema. Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na sababu yake ingawa ukiziangalia zote zinatoa jibu moja kua huenda tulioa bila kuzingatia sababu za...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
Back
Top Bottom