kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wasiotaka kuoa wala kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe nyumba ndogo nyingi zina tamani kuolewa

    Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa. Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga mwandishi wa habari, huyu mdada alizaa na mzee mmoja anafanya kazi UN.Dada ana shape la maana,mzee...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitakuoa kwa sababu ninakupenda bali kwa sababu unastahili kuolewa na Mimi

    SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI. Anaandika, Robert Heriel. Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda...
  4. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  5. Ravalomanana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

    Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
  6. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  7. Joao de Matos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa na mtu haikupi uhalali wa kuolewa naye

    Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu. Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe. Kuna kijana...
  8. DENG XIAOPING

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora - Useja au kuoa/kuolewa?

    *USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa. Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa? - Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja. - Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
  9. royal tourtz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa miaka 27, kuendelea anakuja kuwa mwanamke wa kuaminika zaidi kuolewa kuliko chini ya umri huo

    za mda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe. Kwa sababu zana ya kupata...
  10. Samson Ernest

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna Ya Kukabiliana Na Matamanio/Matarajio Yako Na Ya Wazazi/Ndugu Kuhusu Kuoa Na Kuolewa

    Wazazi wanapitia changamoto ya watoto wao kutoolewa na kutooa kwa wakati waliotarajia wao, vijana wa kiume wakiulizwa kuhusu hili wana sababu nyingi juu ya hili. Wapo watakuambia bado hawajaona wa kumuoa, wengine watasema wasichana wanachagua sana wanaume wa kuwaoa, wengine watakuambia muda...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

    Kwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
  12. Babe la mji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

    Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo. Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya...
  13. Baharia Mahaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama? Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano. Sasa leo nataka tujuzane yule mtu...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  15. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema ananipenda ila hataki kuolewa kwa sasa

    Habari ndugu zangu, Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi kama mitatu hivi...muda wote wa mahusiano yetu alikuwa anakuja Nyumbani kwangu...anaweza akalala kwa siku mbili,,siku nyingine anashinda kwangu na kuondoka,,,alikuwa ananifanyia kila kitu kama mke aliolewa... UTATA...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu, tunakumbushana tu ili baadaye tusilaumiane ingawa kuolewa siyo lazima na neno langu siyo sheria

    INASEMEKANA: _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima. *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza. *Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2: 1. _*Bilioni...
  17. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

    KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza...
  18. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  19. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  20. masara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
Back
Top Bottom