Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,735
Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa!

Umaarufu wako
Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe!

Muonekano wako
Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye uwezi kujua kama yupo hivi. Watengeneza mwili,washinda saloon kujilemba wanaume,wavaaji wazuri nguo,wenye sura nzuri.

Mali unazo miliki
Hii inawakumba wale ukiwa na ghetto zuri,kigari,biashara za hapa na pale,maisha mazuri.

Familia yako hikoje
Hii inawakumba wale sijui mtoto wa tajiri,waziri,mbunge,msanii,dada au kaka n.k. 100% hivi ndivo zinawasukuma wanawake wengi kutaka kuolewa na mtu fulani.

Mapenzi yanakuja kwa njia hiyo. Ndio unaweza kushangaa jamaa anamiliki wanawake wazuri.

1632379087078.jpeg
 
vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa!

*umaarufu wako
hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara.
hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe!

*muonekano wako
hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye uwezi kujua kama yupo hivi.
watengeneza mwili,washinda saloon kujilemba wanaume,wavaaji wazuri nguo,wenye sura nzuri.

*mali unazo miliki
hii inawakumba wale ukiwa na ghetto zuri,kigari,biashara za hapa na pale,maisha mazuri.

*familia yako hikoje
hii inawakumba wale sijui mtoto wa tajiri,waziri,mbunge,msanii,dada au kaka n.k

100% hivi ndivo zinawasukuma wanawake wengi kutaka kuolewa na mtu fulani.

mapenzi yanakuja kwa njia hiyo.
ndio unaweza kushangaa jamaa anamiliki wanawake wazuri.

hii picha ndio imenifanya kupata hayaView attachment 1923444
View attachment 1923445

Ongeza👇🏿

Ampate mwanamume wa kiarabu hata mwenye nywele ngumu kama za Abbas tarimba, aise watamtambua
 
vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa!

*umaarufu wako
hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara.
hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe!

*muonekano wako
hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye uwezi kujua kama yupo hivi.
watengeneza mwili,washinda saloon kujilemba wanaume,wavaaji wazuri nguo,wenye sura nzuri.

*mali unazo miliki
hii inawakumba wale ukiwa na ghetto zuri,kigari,biashara za hapa na pale,maisha mazuri.

*familia yako hikoje
hii inawakumba wale sijui mtoto wa tajiri,waziri,mbunge,msanii,dada au kaka n.k

100% hivi ndivo zinawasukuma wanawake wengi kutaka kuolewa na mtu fulani.

mapenzi yanakuja kwa njia hiyo.
ndio unaweza kushangaa jamaa anamiliki wanawake wazuri.

hii picha ndio imenifanya kupata hayaView attachment 1923444
View attachment 1923445
Hapa Kuna penzi au udangaji?
Posho za CCM zikiisha mwanamke anasepa.
 
Haya mambo kama hayana formula, mke anataka kuolewa, atataka mtoto/watoto, pesa isikauke, hapo wewe utasahaulika, hata watoto watakaririwa hivyo, nafasi ya mwanaume inabakia kutunza bila kupendwa, mazuri yako utaambiwa huna haja ya kusifiwa wala wakushukuru, sababu wewe ni baba, unafanya majukumu yako, ukisepa kwa mwingine angalia timbwili lake, wanaume ni shida na lazima tulijuwe hili..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom