Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Mar 6, 2015
70
221
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
 
Duuh inaelekea:
1.Una wivu sana ndio maana unataka aoe mke mwingine umuonyeshe upendo wa kweli uko wapi

2.Unapenda kushindana na mwenzio tu katika mahaba mkomeshane

3. Umezoea threesome sex, au unaitamani walau uone ikoje

4. Hujui maana halisi ya Upendo

Yani Kuna mtazamo mingi kiasi kwamba nashangaa mnoo, maana hata wanaoolewa Mathna(mke mwenza) wanasikia maumivu moyoni ila watakubali sababu ni Dini
 
Hapo ni wewe umevaa viatu vyake ukaona unavyokosea ila yeye anajua anachotaka na madhara yake.
 
Back
Top Bottom