kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya adai kuolewa na Roho Mtakatifu

    #Taarifabilamipaka Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu. Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa...
  2. Kukudume2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa ni kuolewa tu kuliko kudanga

    Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk Suluhisho la haya yote ni kukubali uke wenza, yaani ukubali kuolewa mke wa pili au watatu au wanne na hapa ni wewe mwenyewe kuwa tayari...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  5. Mr Chromium

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

    Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda! Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience. Eehh KAMA UMEOA AU UNADATE...
  6. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

    Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi? Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
  7. Ghost boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatma ya binti Monica ni ipi?

    Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

    Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi. Chanzo: globalpublishers Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza Maswali mengi mno tu na kuanza kuhisi kuwa huenda huyu Mbunye yake ni ya Dhahabu tupu
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

    Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo...
  10. luchelele mzunguko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

    Wakuu mimi ninavyofahamu ni kwamba ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke ya kuwa mume na mke. Lakini makubaliano haya yawe yamedhibitishwa eidha na watumishi wa Mungu au viongozi wa kimila kwa mujibu wa ndoa za kimila au na Hakimu kwa mujibu wa ndoa za kiserikali zote hizi wakiwepo...
  11. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Ukifiwa na kuolewa upya huvai shela au pete ya marehemu

    Habari wana JF, Leo nimeota ugomvi ukitokea mahali sababu mume amefiwa na mke na kwa mujibu wa dini yake akaoa/anaoa mke mwingine. Hata hivyo mambo sio mepesi ingawa yote yamefanyika kwa MAPENZI YA MUNGU. CHANGAMOTO: - Mume anavaa pete ya mke wa zamani mkono wa kulia na mkono wa kushoto...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. =============== Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more...
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa. Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi...
  15. ktroshaban

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  16. Ryan Holiday

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

    Hello WanaJf Bibi yangu Rukia kuna siku aliniuliza Mjukuu wangu unajua kwa nini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi? Mimi: Hapana Bibi Bibi: Hii ndiyo sababu mjukuu wangu "Kuonja onja umeshashiba". Mimi: Inamaana gani bibi? Bibi: Nikimaanisha kwamba mambo yanayopatikana kwenye ndoa...
  17. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

    Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na...
  18. mkamanga original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

    Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa. Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na 1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa, 3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
  19. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

    Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k? Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au...
  20. KITAULO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

    Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo. Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality). Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
Back
Top Bottom