Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
483
294
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini.

Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema.

Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini hawawezi hata kukaanga mihogo maana wanataka biashara za vyumba vya kukodi.

Ushauri wangu
Vijana mkubali kufa na utamu wako kuliko kutafuta mke wa chuo kikuu utajuta ndugu, waacheni hao waolewe na elimu zao!?

1626682163109.png

 
Hao Hao ukiwatafuta baada ya mwaka au miaka miwili wakiwa mtaani

Unawakuta wako vizuri na wana sifa zote, so unagundua shida si wao ila

Shida ni mazingira waliyotoka kwahyo tusiwalaumu ila tuwape muda waku cope

Na pia sidhani kama yafaa kujumuisha wote,vilaza wako everywhere hata kule kimbiji

Kwa wasio hata na elimu ya darasa 1.
 
Sio wasichana wote waliosoma chuo hawafai kuolewa na sio wasichana wote walioishia darasa la 7 au kidato cha nne wanafaa kuolewa.

Ukiona pale unapowaza kuoa na ukaona bado unatumia nadharia ambazo zinafanya "simple generalisation", basi usioe kwanza bado unatakiwa kuyaona mengi zaidi
 
Sio wasichana wote waliosoma chuo hawafai kuolewa na sio wasichana wote walioishia darasa la 7 au kidato cha nne wanafaa kuolewa.

Ukiona pale unapowaza kuoa na ukaona bado unatumia nadharia ambazo zinafanya "simple generalisation", basi usioe kwanza bado unatakiwa kuyaona mengi zaidi
Na support hii comment na Tani moja ya Cement

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato Cha nne aliyeshindwa Kwan wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini...
Acha uwoga mwanamke wako mwenyewe unashindwa kumcontrol elimu haina nafasi kwenye ndoa mnyooshe ukilegea we ndio atakunyoosha kingine tafuta pesa we unapiga hesabu za kukaanga mihogo.

We unafkiri aliruka tu toka utotoni chuo afu kwako hapa katikati ameshatumika na watu kibao wenye fedha, wahuni, walevi ndio na wewe mcha mungu ukampata kwa hiyo ana experience kibao. Ukimwacha sisi tunamdaka na kumla tenah kiustadi
 
Acha uwoga mwanamke wako mwenyewe unashindwa kumcontrol elimu haina nafasi kwenye ndoa mnyooshe ukilegea we ndio atakunyoosha kingine tafuta pesa we unapiga hesabu za kukaanga mihogo. We unafkiri aliruka tu toka utotoni chuo afu kwako hapa katikati ameshatumika na watu kibao wenye fedha, wahuni, walevi ndio na wewe mcha mungu ukampata kwa hiyo ana experience kibao. Ukisusa sisi tunamla tena kiustadi
Wewe popo kweli aiseee
 
Sio kweli kua wote hawafai kuolewa japo wengi wao mindset zao wanawaza mambo makubwa.

Na wewe pia usioe ukitegemea eti uyo mkeo afanye kazi ndo unafuu wa maisha upatikane. Mzebaba muoe mtoto wa watu sio aje kupata shurba apo kwako bali aje afurahi.

Tafuta pesa uwe na kipato kizuri kama ataamua kukaanga hiyo mihogo ni yeye wala sio kwamba eti wewe umeahindwa kumudu kuendesha familia ko akusaidie.
 
Sio kweli kua wote hawafai kuolewa japo wengi wao mindset zao wanawaza mambo makubwa.

Na wewe pia usioe ukitegemea eti uyo mkeo afanye kazi ndo unafuu wa maisha upatikane. Mzebaba muoe mtoto wa watu sio aje kupata shurba apo kwako bali aje afurahi. Tafuta pesa uwe na kipato kizuri kama ataamua kukaanga hiyo mihogo ni yeye wala sio kwamba eti wewe umeahindwa kumudu kuendesha familia ko akusaidie.
Hata mie sijamaanisha wote ila wengi wao Ni viaz ndo maana wanatumika tu na hawaelekezi Kwan nao tyr Wana gpa katka maisha!
 
Back
Top Bottom