kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa hiki ni somo kubwa sana la uadilifu hasa wakati huu wakurugenzi walipoamua kununua magari badala ya madawati

    Nkirwa world wide JSulmtSpdorunsnote r11r,e 2gnd016iiih · UTU NI ZAIDI YA FEDHA NA HESHIMA YA DUNIA... Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo la kununua Umeme wa LUKU kwa kutumia simu?

    Habari wadau, Kuna shida yeyote ya kununua umeme kwa Luku? Nimejaribu kununua umeme kwa halopesa naona inagoma,vipi ni mitandao yote au ni halopesa tu? KK, MINJINGU.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  7. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  8. JamiiForums Tanzania TACAIDS: Wafadhili wanaendelea kununua ARVs

    Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi iliyosema wafadhili wajitoa dawa za UKIMWI. TACAIDS imesema taarifa hiyo si ya kweli hakuna wafadhili waliojitoa, kwa kuwa hadi sasa mahusiano ya Tanzania na wafadhili yako vizuri. Wamesema...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uzoefu na decoder ya canal +, nahitaji kununua

    Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
  10. JamiiForums Tanzania Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  11. JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  13. JamiiForums Tanzania Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  15. JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais ajaye, tunaomba upunguze gharama ya kununua units za kutumia maji ya bomba

    Hii ni turufu nzuri kwa mwanasiasa, natamani kusikia Mgombea yeyote wa Urais akilizungumzia hili, licha ya baadhi ya maeneo kukosa maji, haiwezi kuhalalisha maeneo yenye maji ya bomba kuuziwa Tsh 1200/= kwa unit ilhali tukijua maji ni uhai lazima yatumike Kila muda. Rais ajae alimulike hili...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukitaka kununua gari Uingereza

    Salaam, Katika kujadili masuala mbalimbali yanayohusu magari, nilipata kuweka moja ya mitandao wa uuzaji na ununuaji wa magari Uingereza. Mtandao huu unaitwa Autotrader, ni moja mitandao maarufu na ya uhakika katika kununua na kuuza magari (mapya na yaliyotumika). Sasa ndugu Bavaria alipata...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Air compressor ya kununua

    Salaam, Natafuta Air compressor kuanzia lita 100, kama unayo nichek Pm tufanye biashara chap!!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kununua gari

    Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na ambayo haijawahi kupata ajari. Napendelea toyota allion, Allex au Runx
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…