kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sawadogo Hajapewa Chake, Atishia Kufungua Kesi. Pesa ya Kumnunua Miquisine Itoke Wapi?

    Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu wachambuzi mlimpamba Sana wakati anakuja sasa hivi mpambanieni apate haki yake. Mumemuomba apunguze hela...
  2. Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  3. L

    Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  4. Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  5. Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

    2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
  6. Kununua hisa za NMB au CRDB

    Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango...
  7. Mwigulu Nchemba: Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu nchini

    Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini. Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar “Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya...
  8. Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

    Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu. Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote? 2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi. 3. Mbunge wa Arusha...
  9. Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  10. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  11. B

    Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  12. Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  13. F

    Kununua ndege bila business plan ni kufuja fedha za maskini

    Biashara ya ndege ni moja ya biashara ngumu zaidi duniani. Hii ni biashara yenye mahesabu makali. Ni biashara ya kimataifa. Kufanikisha biashara ya ndege tunahitaji timu yenye weledi mkubwa sana kibiashara. Wazungu Afrika Kusini wamepata changamoto kubwa na hasara pia, Wanaigeria, Wamisri na...
  14. Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  15. Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

    Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi? Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi...
  16. MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

    Kwema Wakuu! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude. Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
  17. Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  18. L

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  19. T

    Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…