J Jogacom Member Joined Dec 7, 2023 Posts 18 Reaction score 55 Feb 9, 2024 #1 Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar. Mwenye anayo anicheki. Ahsante.
BOMBAY JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,744 Reaction score 3,546 Feb 9, 2024 #2 Nami Nafuatilia Sent using Jamii Forums mobile app
JGimbuya Member Joined Dec 30, 2021 Posts 16 Reaction score 15 Apr 8, 2024 #3 Hello ninayo Mkuu Salon ya kiume Iko Dar es salaam Goba kwa Moga inatazamana na Lami,sema sina picha zake apa ila ina kiwango kizuri changamoto imekuwa usimamizi maana mimi mwajiriwa nimekuwa kwa sasa nasafiri sana Mawasiliano yangu 0768370986 tuweze kujajenga
Hello ninayo Mkuu Salon ya kiume Iko Dar es salaam Goba kwa Moga inatazamana na Lami,sema sina picha zake apa ila ina kiwango kizuri changamoto imekuwa usimamizi maana mimi mwajiriwa nimekuwa kwa sasa nasafiri sana Mawasiliano yangu 0768370986 tuweze kujajenga
Kipondo Cha ugoko JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 1,338 Reaction score 2,481 Apr 9, 2024 #4 Jogacom said: Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar. Mwenye anayo anicheki. Ahsante. Click to expand... Vifaa je?? Kama viti?? Je unahotaji saloon ya kawaida au barbershop kabisa???
Jogacom said: Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar. Mwenye anayo anicheki. Ahsante. Click to expand... Vifaa je?? Kama viti?? Je unahotaji saloon ya kawaida au barbershop kabisa???