kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kulipa kodi ya ardhi ya Serikali kwa awamu?

    Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu, Je, serikali ina utaratibu huo? Kama upo, procedures ni zipi? Nawasilisha
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  3. escrow one

    JamiiForums Tanzania KARMA: Tulishangilia wakati wengine wanalazimishwa kulipa kodi za dhuluma, sasa yameturudia inabidi tushangilie

    Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi. "Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea. Hivi sasa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba ashangazwa na Rais Samia kumuachia mtu aliyekula njama katika wizi wa shilingi zaidi ya bilion 300 za Escrow kwa kutoa bilion 26 tu

    Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mnaoteuliwa kumbukeni kulipa Imani na Amani

    Bila shaka aliyekuteua anafahamu machache sana kuhusu wewe ila mengi unayo wewe mwenyewe kwenye akili na moyo wako. LAKINI bila shaka aliyekuteua katanguliza IMANI kwako kuwa utaweza kumsadia yeye kwenye malengo yake. Hivyo Imani lazima izae Imani. Wakati huohuo lazima ufahamu kuwa uteuzi wako...
  7. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  8. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

    Leo 16/06/2021 12:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu. Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
  9. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Rais, Majaji na wote wasiokatwa kodi kwenye mishahara yao ni muda muafaka nao waanze kulipa kodi

    Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja. Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho, wanaokamuliwa kodi kwenye mishahara yao lakini kuna jingine la watanzania haohao mfano rais na Majaji...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Penalty ukichelewa kulipa ada Hii sheria ya wapi!!? Serikali mtusaidie

    Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi Imenisikitisha Sana Tunaomba wazirii HUSIKA...
  14. Latifasaid

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  17. real G

    JamiiForums Tanzania Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Back
Top Bottom