Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
 
Mkuu KooZito hii sio TCRA ni watumiaji wote wa mitandao hii tangu saa tisa jioni. Nimewasiliana na watu zaidi ya 10 na nje ya nchi hakuna inayofanya kazi. Vuta subira huenda ikatengamaa

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Uliisoma EULA na kuielewa? Au uli-click I agree then maisha yakaendelea?
 
Kwani kuna makubaliano mliwekeana hapo awali kati ya mtumiaji na mtoa huduma juu ya fidia inapotokea hitilafu?

Kama hakuna, pole sana. Hupati ng'oo.

Labda uchague kuhamia mtandao mwingine.
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
kwani unalipia facebook? au whatsapp?

yaan unalalamika fidia kweny mtandao ambao umejiunga bure?
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Zamani uliwezaje kufanya biashara bila whatsap? ndiyo mjifunze kutotegemea mfumo mmoja tu
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
TCRA hana ubavu juu ya hili suala maana ni global

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom