Mbona kutwa viongozi wenu wanashindana kwenda kuomba Marekani?Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima,leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu ?
Tuagizeni mafuta urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
Ni kweli, fursa inawezekana mahali kokote na changamoto vivyohivyo zipo kote.Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima,leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu ?
Tuagizeni mafuta urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima,leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu ?
Tuagizeni mafuta urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabis
Bora wao maziwa tu ndio shida. Huku kwetu shida ni kila tu, Yaani shida ni sehemu ya maisha yetu.Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima,leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu ?
Tuagizeni mafuta urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
Bora wao maziwa tu ndio shida. Huku kwetu shida ni kila tu, Yaani shida ni sehemu ya maisha yetu.
Vipi kwanza umekula walau mlo mmoja leo?Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu?
Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
House girl mbali akawe mbwa ulayaMwenyewe hapo unatamani ukawe house girl Marekani