Sasa rasmi bei ya unga ni kubwa kuliko sufuria

Nimesoma kitabu cha Andy chande inaonekana serikali kama ya mkapa... mwinyi... even mwalimu... walikuwa na Agenda ya kudhibiti thamani ya fedha yetu. Inaonekana wazi mambo yakiwa mrama hivi kwasababu za ndani au za nje , walikaa wachumi wabobezi na kuwaza kuokoa jaazi. Miaka hii watu wanapanda ndege...... yule member wetu humu anaandaa ushairi wa kudumisha uteuzi. Ajisemee shaban roberth 1958... "nchi ya bado kidogo"
 
KILA kitu bei juu colgate herbal big toka 3500 hadi 6000,dawa ya minyoo zentel toka 4000 hadi 8000.
Nyama kilo 8500,pesa haina thamani na haipatani. Bora ya Magu haikupatikana lakini ilikuwa na thamani. Yule jamaa pale wizaarani anachojua ni kuongeza sifuri tu
 
Nimesoma kitabu cha Andy chande inaonekana serikali kama ya mkapa... mwinyi... even mwalimu... walikuwa na Agenda ya kudhibiti thamani ya fedha yetu. Inaonekana wazi mambo yakiwa mrama hivi kwasababu za ndani au za nje , walikaa wachumi wabobezi na kuwaza kuokoa jaazi. Miaka hii watu wanapanda ndege...... yule member wetu humu anaandaa ushairi wa kudumisha uteuzi. Ajisemee shaban roberth 1958... "nchi ya bado kidogo"
Limeni muuze Bei rahisi
 
Back
Top Bottom