muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,114
- 4,798
TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD
nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua mzigo na unarisiti nasi unapewa zawadi,
fanyeni hivi,
Tangazeni kwa watanzania kwamba mtu yoyote akinunua bidhaa yoyote atunze risiti yake ya EFD zikifika risiti 100 aje nazo TRA impe bonus!
mkifanya hvyo mtakua mmewamaliza hakuna mtu atakayenunua bidhaa aache kuomba risiti