Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,655
15,965
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.

Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.

So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.

But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana (kuroga is a slang for KUPENDEZA) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.

Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga (kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA) mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.

Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.

Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.

Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga (kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)

Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakinishobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga (kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.

Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri (based on my personal experience)

Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.

Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.

Gari sio something natural.

A car is something artificial.

Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.

Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake?

But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?

Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?

Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.

Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is (mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu (Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )

Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,655
15,965
Wa sasa hivi hata kama unaroga au una gari kama haumpi hela unaweza usiwapate😂😂😂

To attract a woman into making love with you is one thing and to keep her is another thing. I was talking about attraction.

Anyways pamoja na nilicho kisema lakini still amini kwamba wanawake ambao mind zao hazijawa corrupted wapo wengi sana kuliko unavyo fikiri.

Social networks zimetufanya kuamini kwamba kila mwanamke tunae kutana nae mtaani basi ana akili kama za wanawake wa tiktok hell no wapo wanawake wengi tu wazuri.

Anyways, u have to know this wapo wanawake ambao kwao pesa sio tatizo, they just want to be loved. Wana pesa zao ama wanatoka kwenye familia zenye uwezo na hawana tamaa ya pesa all they want is love..

Yes mapenzi ya sasa ni pesa but lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea kutumia pesa katika mapenzi ni kosa kubwa sana.

Wewe tumia milioni tatu kumuhonga mwanamke wako na mimi hiyo milioni tatu niende nikanunu nguo kali za milioni tatu. Chances are wewe utaishia kuwa na huyo huyo mwanamke wako ambae baada ya miezi kadhaa hizo pesa zitaisha na ata kuomba zingine ambazo utakuwa huna ataenda kwa mwingine mwenye nyingi zaidi lakini mimi kwa hayo mavazi nita wa attract al most 20 to 30 sexy girls (ambao sio malaya/ and of course I will have sex with them)

Hapo wote tumetumia pesa kwenye mapenzi mimi nimetumia pesa kujipenda mwenyewe ili attract potential lovers wewe umetumia pesa kumpa rushwa mwanamke wako ili akupende
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,655
15,965
Tutafute pesa bro
Yeah but tusisahau kuvaa mavazi mazuri ya gharama..

Mavazi ya gharama yenyewe kama yenyewe ni uchawi mkubwa sana wa nafsi. Ukiwa umevaa mavazi ya thamani kuna vitu ambavyo huwezi kuvifanya ambavyo ungeweza kuvifanya kama ungekuwa umevaa mavazi ya kawaida. Kwa mfano hata kama wewe upo addicted na kununua malaya kiasi gani huwezi kuwa umevaa suti ya milioni halafu ukaenda kulala na wale malaya wahaya wa buguruni. Hilo vazi la milioni lita activate the positive part of ur ego of which will never allow you to go that low
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
20,013
22,639
When I was a lil bow wow ( a very young boy) I was thinking just like you.

Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.

So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.

But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana ( kuroga is a slang for KUPENDEZA ) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.

Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga( kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA )mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.

Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.

Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.

Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga ( kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)

Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakini shobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga ( kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.

Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri( based on my personal experience )

Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.

Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.

Gari sio something natural.

A car is something artificial.

Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.

Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake ?

But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?

Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?

Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.

Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is ( mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu ( Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )

Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.
Mtoa mada ni Pisi Kali Lil bow wow wahuni wanaruka nae tayari full tope.
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
15,479
40,384
Yeah but tusisahau kuvaa mavazi mazuri ya gharama..

Mavazi ya gharama yenyewe kama yenyewe ni uchawi mkubwa sana wa nafsi. Ukiwa umevaa mavazi ya thamani kuna vitu ambavyo huwezi kuvifanya ambavyo ungeweza kuvifanya kama ungekuwa umevaa mavazi ya kawaida. Kwa mfano hata kama wewe upo addicted na kununua malaya kiasi gani huwezi kuwa umevaa suti ya milioni halafu ukaenda kulala na wale malaya wahaya wa buguruni. Hilo vazi la milioni lita activate the positive part of ur ego of which will never allow you to go that low
Nilikuwa nikipendeza sana hata sehemu za kula za hali ya chini nilikuwa siingii kwa kujishtukia..wayback nilivyokuwa Uni.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,655
15,965
Nilikuwa nikipendeza sana hata sehemu za kula za hali ya chini nilikuwa siingii kwa kujishtukia..wayback nilivyokuwa Uni.
Yeah mkuu, mavazi mazuri ni uchawi mkubwa sana ambao wana waki ushtukia uta wafanyia wepesi kwenye mambo mengi sana.

Hata kwenye bible imeandikwa Yesu ata kuja akiwa amevaa vazi la thamani.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,655
15,965
Ukiwa na ndinga Mzee wng hata kama una mchecheto kama wa Gotabaya utakula madem mpk nyota akonde
Hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe nilivyo kuwa mtoto.

Ni kama zile story za awamu ya tano kila sheli au ghorofa una ambiwa vina milikiwa na Riz One.

Halafu hiyo formula hai apply kwa mademu wa kishua ambao kwao magari sio kitu cha ajabu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

19 Reactions
Reply
Top Bottom